ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Alete hicho kifungu cha Sheria kinachosema hivyo maana CCM wamezoea kuendesha nchi kwa uongo, mazoea, ulaghai na ujanjaujanja.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kukaa na pesa nyingi pasipo kuweka benki ni kinyume cha sheria, isipokuwa kama kuna maelezo ya ziada.
Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Kupambana na Utakatishaji wa Fedha (Uhamisho wa Fedha kwa Njia ya Kielektroniki na Miamala ya Fedha Taslimu) za mwaka 2019, benki inalazimika kutoa taarifa kwa Kitengo cha Ujasusi wa Fedha (FIU) kuhusu utoaji wa fedha taslimu unaohusisha shilingi za Tanzania au fedha za kigeni zenye thamani sawa na dola za Marekani 10,000 au zaidi ndani ya muamala mmoja. Wajibu wa kutoa taarifa kuhusu utoaji wa fedha taslimu unatokana na kiasi kilichotolewa, na si kama benki ina mashaka kuhusu muamala huo au la.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kukaa na pesa nyingi pasipo kuweka benki ni kinyume cha sheria, isipokuwa kama kuna maelezo ya ziada.
Wewe chawa acha ulaghai wa kuweka mambo yasioyohusiana na mada, leta kifungu cha Sheria kinachosema ni kinyume cha Sheria kuwa na fedha taslimu zaidi ya Tsh milioni 10 nyumbani.Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Kupambana na Utakatishaji wa Fedha (Uhamisho wa Fedha kwa Njia ya Kielektroniki na Miamala ya Fedha Taslimu) za mwaka 2019, benki inalazimika kutoa taarifa kwa Kitengo cha Ujasusi wa Fedha (FIU) kuhusu utoaji wa fedha taslimu unaohusisha shilingi za Tanzania au fedha za kigeni zenye thamani sawa na dola za Marekani 10,000 au zaidi ndani ya muamala mmoja. Wajibu wa kutoa taarifa kuhusu utoaji wa fedha taslimu unatokana na kiasi kilichotolewa, na si kama benki ina mashaka kuhusu muamala huo au la.
Baada ya kutoa taarifa ya muamala wa fedha taslimu, FIU hufanya uchambuzi wa muamala huo na inaweza kuamua kuwasilisha taarifa hiyo kwa vyombo vya dola kwa ajili ya uchunguzi. Ingawa si kosa kisheria kuwa na kiasi kikubwa cha fedha taslimu nyumbani, pale ambapo chombo cha dola kinapokuwa na mashaka kwamba fedha nyingi zilizopo nyumbani huenda ni zao la uhalifu au zimekusudiwa kutumika kutekeleza uhalifu kama vile wizi wa kutumia nguvu, mwenye fedha anapaswa kuondoa shaka hiyo kwa kutoa maelezo ya kuridhisha yanayoeleza sababu za kuwa na kiasi hicho kikubwa cha fedha taslimu nyumbani. Vinginevyo, na isipokuwa kama kuna ushahidi unaoonyesha kuwa unaficha jambo fulani, sioni kuwa kuna kosa lolote
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kukaa na pesa nyingi pasipo kuweka benki ni kinyume cha sheria, isipokuwa kama kuna maelezo ya ziada.
Wapi katika hiyo kanuni uliyoiweka hapo juu inasema kuwa ni kosa mtu kuweka kiasi fulani cha pesa nyumbani kwake? Watu tunauliza ni sheria gani gani inayokataza mtu kuwa na milioni kumi nyumbani kwake na sio kutoa pesa nyingi benki kwa mkupuo mmoja!Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Kupambana na Utakatishaji wa Fedha (Uhamisho wa Fedha kwa Njia ya Kielektroniki na Miamala ya Fedha Taslimu) za mwaka 2019, benki inalazimika kutoa taarifa kwa Kitengo cha Ujasusi wa Fedha (FIU) kuhusu utoaji wa fedha taslimu unaohusisha shilingi za Tanzania au fedha za kigeni zenye thamani sawa na dola za Marekani 10,000 au zaidi ndani ya muamala mmoja. Wajibu wa kutoa taarifa kuhusu utoaji wa fedha taslimu unatokana na kiasi kilichotolewa, na si kama benki ina mashaka kuhusu muamala huo au la.
Baada ya kutoa taarifa ya muamala wa fedha taslimu, FIU hufanya uchambuzi wa muamala huo na inaweza kuamua kuwasilisha taarifa hiyo kwa vyombo vya dola kwa ajili ya uchunguzi. Ingawa si kosa kisheria kuwa na kiasi kikubwa cha fedha taslimu nyumbani, pale ambapo chombo cha dola kinapokuwa na mashaka kwamba fedha nyingi zilizopo nyumbani huenda ni zao la uhalifu au zimekusudiwa kutumika kutekeleza uhalifu kama vile wizi wa kutumia nguvu, mwenye fedha anapaswa kuondoa shaka hiyo kwa kutoa maelezo ya kuridhisha yanayoeleza sababu za kuwa na kiasi hicho kikubwa cha fedha taslimu nyumbani. Vinginevyo, na isipokuwa kama kuna ushahidi unaoonyesha kuwa unaficha jambo fulani, sioni kuwa kuna kosa lolote
Ni jambo la hovyo sana, Kuna wakati nilikuwa nataka barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa wakaniambia nije kwanza na barua ya utambulisho ya balozi wa nyumba kumi, nilikuja kugundua baadaye sana kwamba balozi wa nyumba kumi kumbe hata sio mojawapo ya uongozi rasmi wa serikali za mitaa bali ni kwa ajili ya CCM.Hakuna kitu ambacho kinanikera na kunishangaza kama viongozi wa Tanzania wanapokuwa wanapenda kutumia maneno na sheria bila ya kujua lolote juu ya wanachosema. Wakitaka kuoitisha lao utawasikia tu serikali imeamua hivi na vile lakini ukifuatilia utaona hakuna lolote lilipitishwa na serikali juu ya issue hiyo zaidi ya huyo alosema. Na wakati mwengine hufika hata kusema sheria za nchi zinakataza hili au lile ukimuuliza ni sheria gani na iko sehemu gani hakupi jibu lolote lile!
Kama kukaa na Million 10 nyumabni ni kosa kisheria basi tutakamatwa wengi...Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kukaa na pesa nyingi pasipo kuweka benki ni kinyume cha sheria, isipokuwa kama kuna maelezo ya ziada.
Mkuu kujiita chawa hakutanifanya niache kutoa elimu ya bure. Hebu rudia tena kusoma post yangu naona umekurupuka kujibu kwa vile umeona ni mimi nimeandika bila ya kuingia ndani kwenye content. Umenishambulia kwa vile itikadi yangu haiendani na itikadi yako kisiasa. Rudia kusoma YodaWewe chawa acha ulaghai wa kuweka mambo yasioyohusiana na mada, leta kifungu cha Sheria kinachosema ni kinyume cha Sheria kuwa na fedha taslimu zaidi ya Tsh milioni 10 nyumbani.
Tunazungumzia kufanya muamala au kukutwa na ...Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Kupambana na Utakatishaji wa Fedha (Uhamisho wa Fedha kwa Njia ya Kielektroniki na Miamala ya Fedha Taslimu) za mwaka 2019, benki inalazimika kutoa taarifa kwa Kitengo cha Ujasusi wa Fedha (FIU) kuhusu utoaji wa fedha taslimu unaohusisha shilingi za Tanzania au fedha za kigeni zenye thamani sawa na dola za Marekani 10,000 au zaidi ndani ya muamala mmoja. Wajibu wa kutoa taarifa kuhusu utoaji wa fedha taslimu unatokana na kiasi kilichotolewa, na si kama benki ina mashaka kuhusu muamala huo au la.
Baada ya kutoa taarifa ya muamala wa fedha taslimu, FIU hufanya uchambuzi wa muamala huo na inaweza kuamua kuwasilisha taarifa hiyo kwa vyombo vya dola kwa ajili ya uchunguzi. Ingawa si kosa kisheria kuwa na kiasi kikubwa cha fedha taslimu nyumbani, pale ambapo chombo cha dola kinapokuwa na mashaka kwamba fedha nyingi zilizopo nyumbani huenda ni zao la uhalifu au zimekusudiwa kutumika kutekeleza uhalifu kama vile wizi wa kutumia nguvu, mwenye fedha anapaswa kuondoa shaka hiyo kwa kutoa maelezo ya kuridhisha yanayoeleza sababu za kuwa na kiasi hicho kikubwa cha fedha taslimu nyumbani. Vinginevyo, na isipokuwa kama kuna ushahidi unaoonyesha kuwa unaficha jambo fulani, sioni kuwa kuna kosa lolote
is there a single competent person working in DSM government? they legitimately cannot do a single thing that makes sense or is goodMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kukaa na pesa nyingi pasipo kuweka benki ni kinyume cha sheria, isipokuwa kama kuna maelezo ya ziada.
Soma mpaka mwisho especially sentensi ya mwisho uone conclusion yangu. Hakuna niliposema ni kosa kuweka fedha nyumbaniWapi katika hiyo kanuni uliyoiweka hapo juu inasema kuwa ni kosa mtu kuweka kiasi fulani cha pesa nyumbani kwake? Watu tunauliza ni sheria gani gani inayokataza mtu kuwa na milioni kumi nyumbani kwake na sio kutoa pesa nyingi benki kwa mkupuo mmoja!
Soma sentensi yangu ya mwishoTunazungumzia kufanya muamala au kukutwa na ...
Ha ha ha mtakamatwa wachache mkuu. Sisi wengibe kufikisha laki moja keshi ni mbinde kweli kweli.