MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Pesa nitafute mimi kwa shida mje mnipangie ninyi uliona wap!!?, hata milion 100 nakaa nazo tu si zangu bhana.
Haiwezekani kila mtu akaweka pesa zake nyumbani, Kuna watu wanapenda kuweka pesa benki tu bila hata kulazimishwa na sheria, kuna watu hawapendi kuwa na pesa nyingi cash au bank bali wangependa wawe na hifadhi ya dhahabu, ardhi, majengo, bonds, shares n.kMkuu kila mtu akiweka hela zake nyumbani kiuchumi haina madhara kwa nchi?
Kumbe ndio michezo unayofanywa na Baba yako anakufira unaona kila unaoejibizana nae anafirwa km wewe si ndio?Sasa nani msenge kati ya mimi na wewe unayefirwa na baba yako??
Kama waliweza kutaja yule mmarekani aliyekutwa na vinavyosemekana vifaa vya ulipuzi itakuwa hawa wachina.?Kwanini wanatambulishwa kama Wachina badala ya majina yao?
Hii sio kwamba inakua inawachafua wachina wote?
Wataalamu naomba kueleweshwa kwenye hili jambo.
Walioichangia CCM walienda na cash kubwa kuliko hiyoWaingereza wana msemo wao kabla ya kutunga sheria angalia gharama ya hiyo sheria.
Ni kweli hiyo sheria ipo lakini umetunga sheria ya tozo kwa pesa mtu akiweka benki, kipi bora nikae na pesa zangu nivunje sheria au niweke benki zikatwe tozo zipungue halafunajiita madr wa uchumi.
Anavyoongea utadhani kuna rule of law kwenye hii nchi kumbe mambo yote ni ujambazi kwa kwenda mbele!Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya kufuatilia sheria na miongozo mbalimbali iliyopo nchini ili kuepuka matatizo yasiyokuwa ya lazima
Chalamila ametoa wito huo leo, Jumatano Januari 07.2026 akiwa Kunduchi, Dar es Salaam alipokwenda kutatua mgogoro wa ardhi ambapo amesema Tanzania ni nchi nzuri iliyoweka sheria nzuri za kufuatwa lakini tatizo lililopo kwa Watanzania wenyewe ni kutosoma sheria hizo
"Hivi kwenye Sheria za Fedha kukaa na milioni 10 cash inakubalika?..., sasa mnajuwa hilo?..., sasa wewe uko na 'milela' pale mingi tukikuuliza hebu tueleze vizuri hii ni mauzo ghafi au faida, justify hilo tu, kama ni faida tujuwe na kama ni mauzo ghafi tujuwe ni shilingi ngapi, halafu tuone je ulikata risiti?, uliomba risiti au je ulilipa kodi ya serikali? hilo tu, lakini mngekuwa mnasoma vizuri sheria za nchi hii hata milioni 10 tu cash ni kinyume cha sheria kuwanayo"
Maajabu ni kwamba mtu kama huyu hata hajui kabisa kuwa serikali anayoitumikia sasa hivi ndiyo mkiukaji mkuu wa sheria kote nchini!Alete hicho kifungu cha Sheria kinachosema hivyo maana CCM wamezoea kuendesha nchi kwa uongo, mazoea, ulaghai na ujanjaujanja.
Usilalamike.Mkuu kujiita chawa hakutanifanya niache kutoa elimu ya bure. Hebu rudia tena kusoma post yangu naona umekurupuka kujibu kwa vile umeona ni mimi nimeandika bila ya kuingia ndani kwenye content. Umenishambulia kwa vile itikadi yangu haiendani na itikadi yako kisiasa. Rudia kusoma Yoda
Kwani wao wanapoweka hizo hela benki na kutokukatia kodi sio kosa? Viongozi wengi wa serkali hawana tofauti na hao wachina. Wanapiga hela za serikali kifisadi wanaficha kwenye mabenki bila kukatia kodi kama sheria za nchi zinavyotaka.Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya kufuatilia sheria na miongozo mbalimbali iliyopo nchini ili kuepuka matatizo yasiyokuwa ya lazima
Chalamila ametoa wito huo leo, Jumatano Januari 07.2026 akiwa Kunduchi, Dar es Salaam alipokwenda kutatua mgogoro wa ardhi ambapo amesema Tanzania ni nchi nzuri iliyoweka sheria nzuri za kufuatwa lakini tatizo lililopo kwa Watanzania wenyewe ni kutosoma sheria hizo
"Hivi kwenye Sheria za Fedha kukaa na milioni 10 cash inakubalika?..., sasa mnajuwa hilo?..., sasa wewe uko na 'milela' pale mingi tukikuuliza hebu tueleze vizuri hii ni mauzo ghafi au faida, justify hilo tu, kama ni faida tujuwe na kama ni mauzo ghafi tujuwe ni shilingi ngapi, halafu tuone je ulikata risiti?, uliomba risiti au je ulilipa kodi ya serikali? hilo tu, lakini mngekuwa mnasoma vizuri sheria za nchi hii hata milioni 10 tu cash ni kinyume cha sheria kuwanayo"
Naona Yoda amekufurahisha sana. Anyway kila mmoja yuko entitled with his opinion, ndiyo freedom of expressionUsilalamike.
Unapojitambulisha kuwa upande wa uovu unakuwa umepoteza hadhi na 'credibility', hata pale unapozungumzia mazuri kama ulivyofanya hapo.
Sasa hata unapozungumzia sheria kama ulivyoeleza vizuri hapa, wakati huo huo huwezi kugeuka nyuma na kuzungumzia ubovu wa usimamizi wa sheria hizohizo.
Maana yake ni kuwa kuna kundi ambalo hizo sheria wao haziwahusu, na hao ndio utatokwa na jasho hapa hapa kuwatetea kama hujui kuwa sheria hizo zipo.
Kukaa na shilingi Milioni 10 ni kinyume na sheria kosa la kisheria? Lohhh Majangaa kweli nchi yetu bado tunafuata Siasa ya kijamaa na kujitegemea. Sheria alizo ziacha baba wa Taifa Mwalim Nyerere tunazitumia mpaka sasa. Kuna haki kweli ya kurekebisha katiba ya nchi kumbe anachogombea Mheshimiwa Tundu lissu kuhusu kurekebisha sheria za nchi ni haki ya ukweli kabisa. Sisi tuliopo nje ya nchi Disapora tutaogopa kuja na pesa nyingi nchini kwetu kuja kuwekeza kwani ukifika Airport Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan, itazichukuwa pesa zako. Bora tukawezekeze nchi jirani ya kenya kuliko kuwekeza nchini kwetu bado tunafuata Siasa ya kijamaa na kujitegemea siasa inayowanyima .haki na uhuru wa wananchi wake. mtihani kweli. Unasemaje? Pascal MayallaSiku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya kufuatilia sheria na miongozo mbalimbali iliyopo nchini ili kuepuka matatizo yasiyokuwa ya lazima
Chalamila ametoa wito huo leo, Jumatano Januari 07.2026 akiwa Kunduchi, Dar es Salaam alipokwenda kutatua mgogoro wa ardhi ambapo amesema Tanzania ni nchi nzuri iliyoweka sheria nzuri za kufuatwa lakini tatizo lililopo kwa Watanzania wenyewe ni kutosoma sheria hizo
"Hivi kwenye Sheria za Fedha kukaa na milioni 10 cash inakubalika?..., sasa mnajuwa hilo?..., sasa wewe uko na 'milela' pale mingi tukikuuliza hebu tueleze vizuri hii ni mauzo ghafi au faida, justify hilo tu, kama ni faida tujuwe na kama ni mauzo ghafi tujuwe ni shilingi ngapi, halafu tuone je ulikata risiti?, uliomba risiti au je ulilipa kodi ya serikali? hilo tu, lakini mngekuwa mnasoma vizuri sheria za nchi hii hata milioni 10 tu cash ni kinyume cha sheria kuwanayo"
Nifurahi sana au nisifurahi, hilo halikuhusu, linalokuhusu ni ujumbe uliokulenga wewe.Naona Yoda amekufurahisha sana. Anyway kila mmoja yuko entitled with his opinion, ndiyo freedom of expression
Hukuniita, lakini sikubaliani na haya maneno yako ya kiujumla jumla namna hii.mia Suluhu Hassan, itazichukuwa pesa zako. Bora tukawezekeze nchi jirani ya kenya kuliko kuwekeza nchini kwetu bado tunafuata Siasa ya kijamaa na kujitegemea siasa inayowanyima .haki na uhuru wa wananchi wake. mtihani kweli. Unasemaje? @Pascal Mayalla
Kama wewe ni Wakili basi labda ni Wakili wa kesi za kuku. Hli eneo la financial crimes maarufu kama money laundering wewe ni mbumbumbu kama fundi Maiko tuKwa ufahamu wangu, kama wakili mwandamizi, hakuna Sheria yeyote inayokataza mtu kukaa na fedha nyingi ndani. Vilevile si lazima kuweka fedha benki.
Ni aibu kiongozi mkubwa kama RC, anapoongea tu mambo ya Sheria bila kupata kushauri.......
Acha generalization, itaje Sheria husika na kifungu.Kama wewe ni Wakili basi labda ni Wakili wa kesi za kuku. Hli eneo la financial crimes maarufu kama money laundering wewe ni mbumbumbu kama fundi Maiko tu