RC Chalamila: Ladha ya bia inategemeana na mhudumu

RC Chalamila: Ladha ya bia inategemeana na mhudumu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Naunga Mkono kauli hii Kabambe ya RC Chalamila
---

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewapongeza wamiliki wa baa na kumbi za starehe kwani uwekezaji wao umetoa ajira kwa watu wengi, na kwamba wakati mwingine ladha ya bia inategemeana na mhudumu.

Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!

Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Punguza makasiriko bhna...Siku moja moja si lazma muwe serious Nyumbani kila siku..

Hata siku moja mmetoka out Na mpenzio ukiona pisi kali mshtue mwambie check pisi hiyo..
Ili kudimisha upendo 🤣🤣
 
RC Chalamila Kaongea Ukweli Mtupu . Hata Ili niongeze bia inategemea na Mhudumu
 
Eti lenyewe linaitwa "muheshimiwa" hizo ndio akili halisi za wana mboga mboga
 
Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!

Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Wanaojilopokea hivi wanakuwaga sio watekelezaji. Sisi wakimya sasa! Unaweza kupitia wahudumu wote, wakishajuana unahama bar unarudi baada ya miezi mitatu wameshabadili wahudumu.
 
Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!

Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Hiyo nyumba mko watu serious tu. Yaani watu wa point tupu. Mizaha haina nafasi kabisa! You need to learn to relax on irony, humour and satire - for your health.
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Hiyo nyumba mko watu serious tu. Yaani watu wa point tupu. Mizaha haina nafasi kabisa! You need to learn to relax on irony, humour and satire - for your health.
Wewe nae? Hapo nilikuwa natania tu ndio maana walioelewa wameishia kucheka.

Halafu kwanza wala hatumii kilevi chochote, relax.
 
Back
Top Bottom