Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,226 Reaction score 8,879 Dec 20, 2023 #21 Walevi utawajua ila huyu dar haimuwezi anautani hadi wa kushika shalubu za anakonda ngoja amezwe
E Embezzler JF-Expert Member Joined Sep 8, 2023 Posts 2,290 Reaction score 5,716 Dec 20, 2023 #22 Kuna mkuu wa mkoa humu jf? Najua kuna baadhi ya mawaziri wako humu wakiongozwa na kijana wa kinyaki.
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Dec 20, 2023 #23 Embezzler said: Kuna mkuu wa mkoa humu jf? Najua kuna baadhi ya mawaziri wako humu wakiongozwa na kijana wa kinyaki. Click to expand... Wapo wanamshaa mwenzao ........kesha toa lock......wamtafutie sober
Embezzler said: Kuna mkuu wa mkoa humu jf? Najua kuna baadhi ya mawaziri wako humu wakiongozwa na kijana wa kinyaki. Click to expand... Wapo wanamshaa mwenzao ........kesha toa lock......wamtafutie sober
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Dec 20, 2023 #24 Chalamila eeh hala hala ndugu yetu....ugimbi haujawahi acha mtu salama....upulike mwagito?
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,256 Reaction score 11,377 Dec 20, 2023 #25 Papasa said: Eti lenyewe linaitwa "muheshimiwa" hizo ndio akili halisi za wana mboga mboga Click to expand... Mwenyekiti wetu aligonga konyagi mpaka akavunjika mguu lakini bado tunamuita muheshimiwa Sembuse alieongea tuu
Papasa said: Eti lenyewe linaitwa "muheshimiwa" hizo ndio akili halisi za wana mboga mboga Click to expand... Mwenyekiti wetu aligonga konyagi mpaka akavunjika mguu lakini bado tunamuita muheshimiwa Sembuse alieongea tuu
Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 Dec 20, 2023 #26 monopoly inc said: Mwenyekiti wetu aligonga konyagi mpaka akavunjika mguu lakini bado tunamuita muheshimiwa Sembuse alieongea tuu Click to expand... Kumbe na mwenyekiti wenu ni mlevi 🤔🤔
monopoly inc said: Mwenyekiti wetu aligonga konyagi mpaka akavunjika mguu lakini bado tunamuita muheshimiwa Sembuse alieongea tuu Click to expand... Kumbe na mwenyekiti wenu ni mlevi 🤔🤔
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 20, 2023 #27 Kuna mambo yanafurahisha sana...