GE2025 RC Chalamila "maandalizi kuelekea oktoba 29 yamkamilika" |ahimiza wananchi kupiga kura

GE2025 RC Chalamila "maandalizi kuelekea oktoba 29 yamkamilika" |ahimiza wananchi kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura.

RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari juu ya hatua muhimu za Maandalizi ambazo zimefikiwa kuelekea siku ya Upigaji kura.

"Nitoe rai kwa Wananchi ambao wamejiandikisha, kwenda kwenye vituo hivyo ili kusoma majina yao na vituo ambavyo watakwenda kupiga kura" amesema RC Chalamila.
 
Back
Top Bottom