Nchi za UAE wanatumia maji ya bahari.Hivi ile Chemistry ya form three kwenye separation of mixture haihusiki na Kuondoa chumvi na other impurities kwenye maji ya Bahari na kuyafanya yawe safe kwa matumizi ya nyumbani?!,
Anyway mi nilikua nasoma nifaulu mtihani tu sio kwa upeo wa kuja kuipractice 😎.
Hiyo ni investment ya pesa nyingi. Haina haja kuteseka na maji ya bahari.Nchi za UAE wanatumia maji ya bahari.
Sisi tuna hela za kuwalipa wasanii wajaze watu kwenye kampeni za CCM.
Halafu mtu kama Lukuvi na uzee wake anakuwa chawa.Hiki kiazi miaka 64 ya uhuru
bado tupo kwenye mgawo wa maji?
nchi imeshajifia hii
yeye kwake maji yapo ya kumwaga tena halipii hata bills
Oyaa km vp raia tukaoge baharini
Dar jotoo.
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020, mzee Hashim Rungwe alisema kuwa akipata urais, atatoa maji baharini DSM na kuyapeleka Dodoma, akachekwa na kila mtu mpaka na wanaJF humu akionekana ni chizi na kituko. Leo tunayaongea yaleyale tuliyombeza nayoNchi za UAE wanatumia maji ya bahari.
Sisi tuna hela za kuwalipa wasanii wajaze watu kwenye kampeni za CCM.
Hashim rungwe alisema atachimba mto kutoka baharini mpaka dodoma jambo ambalo halimake senseKampeni za Uchaguzi Mkuu 2020, mzee Hashim Rungwe alisema kuwa akipata urais, atatoa maji baharini DSM na kuyapeleka Dodoma, akachekwa na kila mtu mpaka na wanaJF humu akionekana ni chizi na kituko. Leo tunayaongea yaleyale tuliyombeza nayo
Hivi hiyo ilikuwa ni cheistry au physics; au ulichukwa vyote kwa pamoja na kuchanganya?Hivi ile Chemistry ya form three kwenye separation of mixture haihusiki na Kuondoa chumvi na other impurities kwenye maji ya Bahari na kuyafanya yawe safe kwa matumizi ya nyumbani?!,
Anyway mi nilikua nasoma nifaulu mtihani tu sio kwa upeo wa kuja kuipractice 😎.
Yeye na wenzake wote hawajui kiasi cha maji kinachoachwa tu kupotea na kuingia baharini kila mvua zikinyesha?Hashim rungwe alisema atachimba mto kutoka baharini mpaka dodoma jambo ambalo halimake sense
Hivi Unajua hata hapo mapinga Kampuni ya Hill inatumia maji ya kisima na hayana chumvi. Tatizo ni ufisadi nchi hiiHiyo ni investment ya pesa nyingi. Haina haja kuteseka na maji ya bahari.
Hii nchi ina maji ya kutosha chini, ni kuchimba tu chini tunapata maji kila kona
Hata kuchimba chini (visima) si lazima. Mabwawa ya kuhifadhi maji mengi sana yanayopotea kila mvua zikinyesha inafaa zaidi. Kila mkoa na baadhi ya wilaya zingekuwa na mabwawa ya kutosha, hata kwa kazi za umwagiliajiHiyo ni investment ya pesa nyingi. Haina haja kuteseka na maji ya bahari.
Hii nchi ina maji ya kutosha chini, ni kuchimba tu chini tunapata maji kila kona