geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,328
- 2,960
wewe wa kusema ivyo au nimekifananishaUsikute, Yeye kwake yapo bwelelee... na ni free, halipii
wewe wa kusema ivyo au nimekifananishaUsikute, Yeye kwake yapo bwelelee... na ni free, halipii
Swala la kuwa na BAHARI at the same place kuwe na SHIDA YA MAJI at the same time nchi Ina bunch of WAKEMIA WAKUU kila siku wanamaliza UD hapo, ni dhahiri kuna shida pahala
Wamehalalisha tayali, dar watu wataongoza kwa kuwa na ukurutu kuliko watu wa bushMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
Nonsense..Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
Hivi hili sinema la maji sio kama lile RAIS WETU KIPENZI LATE MAGUFULI alilitatua baada ya kukuta KUNA MIHUNI HUKO PORINI IMECHEPUSHA MAJI KUTOKA MTO RUVU NA KUYAELEKEZEA KWENYE KIWANDA FLANI, usikute tuna pata shile ileile kwa sababu kuna mijitu hajali yoyote zaidi ya maslahi yaoMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
Asante sana RcMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
Acheni kuleta taharuki tulinde amani hizo ni mbinu za mabeberu kutugawaYaan kweli mjini kama kinondoni watu wanatembea KM 10 kutafuta maji??niliangalia jana nikaingiwa hasira hasa baada ya kuona waheshimiwa wameenda na migari ya kifahari kwenyemsiba pale dodoma jana.
Huku wananchi wao wanaoga kwa mgao maji hamna
Pumbavu kabisa
Acheni kuleta taharuki tulinde amani 🤣 🤣Hivi Zambia na Rufiji wapi mbali? Kuna bomba la mafuta kutoka Dar hadi Ndola Zm.
Zile pesa wanazotenga kila mwaka kununulia v8 zinatosha kujenga mabomba nane ya maji kutoka Rufiji hadi Dar. Lakini nani mwenye uthubutu huo?
Waziri wa maji yupo
Waziri mkuu yupo
Makaribu wakuu wapo
Mainjia waandamizi hata wabobezi wapo.
Maji Rufiji yapo, umeme upo wa kumwaga, wateja wapo na wako tayari kulipia. Yaani kila kitu kipo is ispokua uongozi wizarani na akili.
Juzi nilimuona huyo waziri wa maji wa michongo na mkewe wakifurahia ushindi mnono wa ubunge bungeni Dodoma.
Who cares? Sorry, who are you ? To complain
Msilete taharuki jamani tulinde amaniViongozi wengi wa Tanzania Wana Elimu lakini isiyo na manufaa ya Taifa ndio maana nashangaa kwanini tunawatukuza wenye CV kubwa Kama hawana solution ya matatizo yetu
Kabisahuyo mwingine ni wa wapi mtumishi?
Yes,
napenda kukiri kwamba mimi ni mzigo wa neema na baraka za Mungu kwa wadau wote JF![]()
Umenifananisha.. ushawahi kuona nini kiasi kimekutisha hapa?wewe wa kusema ivyo au nimekifananisha
Nimeshangaa hata Waziri Aweso ameshuka viwango hadi kuwa msimamizi wa ratiba ya mgao wa maji ???Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi