Yaan kweli mjini kama kinondoni watu wanatembea KM 10 kutafuta maji??niliangalia jana nikaingiwa hasira hasa baada ya kuona waheshimiwa wameenda na migari ya kifahari kwenyemsiba pale dodoma jana.Hivi Unajua hata hapo mapinga Kampuni ya Hill inatumia maji ya kisima na hayana chumvi. Tatizo ni ufisadi nchi hii
Alionesha utekelezaji wake utakuaje au aliongea kiujumla?Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020, mzee Hashim Rungwe alisema kuwa akipata urais, atatoa maji baharini DSM na kuyapeleka Dodoma, akachekwa na kila mtu mpaka na wanaJF humu akionekana ni chizi na kituko. Leo tunayaongea yaleyale tuliyombeza nayo
mbogamboga ni zaidi ya ibilisi
unaishi wapi nikuletee maji ya baraka na upako mtumishi? huna haja ya kulalama sana😹😹😹 Veggies mmejua kutunyoosha kutuwekea wajinga serikalini..!!

Hiyo ni investment ya pesa nyingi. Haina haja kuteseka na maji ya bahari.
Hii nchi ina maji ya kutosha chini, ni kuchimba tu chini tunapata maji kila kon
Kwanini unatumia muda wako ku-type pumba?!Hivi hiyo ilikuwa ni cheistry au physics; au ulichukwa vyote kwa pamoja na kuchanganya?
Sawa; kama ni kuondoa chumvi' (sodium na chlorine)'electrophoresis' unaweza kusema hapo kuna kemia; lakini hata kuondoa tope na takataka zingine nako utaipa kemia wakati ni mchujo tu? Au utaweka kemikali kugundisha (coagulate) kabla ya kuchuja au ku-sediment?
Wote CCM, CHADEMA na wengine walikuwa wakimkejeli (ofkozi kipindi cha kampeni huwa ni cha kejeli).Alionesha utekelezaji wake utakuaje au aliongea kiujumla?
Kabisa mkuu. Makampuni mengi ya maji yanachimba chini.Hivi Unajua hata hapo mapinga Kampuni ya Hill inatumia maji ya kisima na hayana chumvi. Tatizo ni ufisadi nchi hii
Bahati mbaya sana kwenye mabwawa ya kuhifadhi maji, nchi haijaweka nguvu kuwekeza huko. Mabwawa ni solution nzuri sana ya chanzo cha majiHata kuchimba chini (visima) si lazima. Mabwawa ya kuhifadhi maji mengi sana yanayopotea kila mvua zikinyesha inafaa zaidi. Kila mkoa na baadhi ya wilaya zingekuwa na mabwawa ya kutosha, hata kwa kazi za umwagiliaji
ukiona viongozi,wana 'nga'ngania kutuongoza wanaichi wao tatizo ndiyo hilo,maana yake vipaumbele vyao ni matumbo yaoMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
Maji yakaukeMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
Wewe na mwenzio ray C wote ni mizigounaishi wapi nikuletee maji ya baraka na upako mtumishi? huna haja ya kulalama sana![]()
huyo mwingine ni wa wapi mtumishi?Wewe na mwenzio ray C wote ni mizigo

Viongozi wengi wa Tanzania Wana Elimu lakini isiyo na manufaa ya Taifa ndio maana nashangaa kwanini tunawatukuza wenye CV kubwa Kama hawana solution ya matatizo yetuWote CCM, CHADEMA na wengine walikuwa wakimkejeli (ofkozi kipindi cha kampeni huwa ni cha kejeli).
Alieleza kwenye mikutano kuwa watanzania ni wajinga, wanambeza na kumshangaa yeye anaposema atatoa maji baharini Dar na kuyapeleka Dodoma kwamba ni kitu hakiwezekani, ila hawashangai kuona mafuta yanasafirishwa kutoka bandarini Dar kwenda Zambia kwa bomba la TAZAMA!
Nilimpigia kura, ila ndio vile wajinga walikuwa wengi zaidi wakatuzidi.