RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

Swala la kuwa na BAHARI at the same place kuwe na SHIDA YA MAJI at the same time nchi Ina bunch of WAKEMIA WAKUU kila siku wanamaliza UD hapo, ni dhahiri kuna shida pahala

Serikali yako inasema kutoa chumvi ni cost sana, Ndo maana inapenda kutega tu kwenye mito, Filtration kidogo na Disinfection kidogo maji tayari πŸ˜ƒ
 
Wamehalalisha tayali, dar watu wataongoza kwa kuwa na ukurutu kuliko watu wa bush
 
Nonsense..
 
Hivi hili sinema la maji sio kama lile RAIS WETU KIPENZI LATE MAGUFULI alilitatua baada ya kukuta KUNA MIHUNI HUKO PORINI IMECHEPUSHA MAJI KUTOKA MTO RUVU NA KUYAELEKEZEA KWENYE KIWANDA FLANI, usikute tuna pata shile ileile kwa sababu kuna mijitu hajali yoyote zaidi ya maslahi yao
 
Kuna mto mkubwa wa Rufiji unamwaga maji yake bahari ya Hindi, kwanini usiwe source ya maji kwa jiji la Dar es salaam kama mto Ruvu miaka nenda miaka rudi umeshindwa kukidhi mahitaji,
Na kama awamu zote za uongozi wa Nchi hii ya Tanzania, hili tatizo la maji lipo tunawezaje kujivunia rasilimali tulizojaliwa na Mungu? Zaidi tujivunie upumbavu wa kutoweza kutumia rasilimali zetu.
 
Asante sana Rc
Tulinde amani wasilete taharuki maji sio kipaumbele chetu πŸ˜‚
 
Acheni kuleta taharuki tulinde amani hizo ni mbinu za mabeberu kutugawa

Pungezeni matumizi ya maji
Miaka sitini ya uhuru maji sio kipaumbele chetu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Acheni kuleta taharuki tulinde amani 🀣 🀣
Pungezeni matumizi ya maji ya luxury
 
Viongozi wengi wa Tanzania Wana Elimu lakini isiyo na manufaa ya Taifa ndio maana nashangaa kwanini tunawatukuza wenye CV kubwa Kama hawana solution ya matatizo yetu
Msilete taharuki jamani tulinde amani

Maji ya muhimu ni ya kunywa TU na yanapatikana madukani brand kibaoπŸ˜‚
 
Nimeshangaa hata Waziri Aweso ameshuka viwango hadi kuwa msimamizi wa ratiba ya mgao wa maji ???
 
Ruvu ilijengwa na mkoloni kuhudumia watu laki 2,leo jiji la Dar lina watu zaidi ya milioni 7,hawajawahi kufanya any major upgrade,hata leo Ruvu iki operate 100% efficient maji hayatatosha bado, dawa ni mtambo mpya na source mpya kuongeza capacity
 
Mbona cha moto, cha mtema kuni tunakiona na serikali hii.

Kulala ni masaa matatu kila mtu. Nyumba nzima mnageuka walinzi kuvizia maji DAWASCO wanayofungua saa tisa ya usiku mpaka kumi na moja asubuhi; mida ya kuwanga.

Tabu tupu, halafu mkuu wa mkoa anatuletea story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…