Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View: https://x.com/jamiiforums/status/1708484384708243476?s=46
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-