RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Amenikumbusha enzi za bashite!
MaRC wa Dar sijui huwa wanalewa nini?😄

Kuna nyakati, nadhani, Mzizima huhitaji viongozi 'wangu wangu' kama hivyo... yaani mtu wa dakika mbili mbele.

Anakwambia akichukiaga anamwaga ngumi kweli kweli, na hujakaa sawa keshakuchomolea 'mkwaju' . 😄

-Kaveli-
 
Mnyalu mwenzangu hebu punguza ushamba aisee, unatuaibisha....your status doesn't suite your word selectiveness!
Grow, Learn, Lead (GLL)!
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
 
Kuna nyakati, nadhani, Mzizima huhitaji viongozi 'wangu wangu' kama hivyo... yaani mtu wa dakika mbili mbele.

Anakwambia akichukiaga anamwaga ngumi kweli kweli, na hujakaa sawa keshakuchomolea 'mkwaju' . 😄

-Kaveli-
Mimi nasema wote wakuleta vurugu jijini wachapwe tu ngumi
 
Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.

Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi hawazi akapigana hata na konda wa daladala. Atqpigwa kwamq mwanamke
Chalamila anakupasua wewe, akikudaba anakutandika knock out kama mandonga.
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Dah!.... viongozi hao...
 
kwa hiyo hata rais hawezi kumfanya kitu au anamaanisha nini?
 
Mbona inajulikana kitambo hiyo saa mshale wa majira unarudi nyumba...🤣
 
Back
Top Bottom