RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Je upo muongozo wa mkuu wa mkoa? Mkuu wa wilaya?
Wanapita kuona wigo wao kiutendaji?.
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Hii ni red flag. Huyu Chalamila anatakiwa awe chini ya uangalizi maalum na anyang'anywe silaha zote anazomiliki. Kuna siku atauwa watu mje muanze kusema "kuna siku alisema ataua watu"
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Huyu jamaa atakuwa wa ndumu na ngada sana naamini,duh!Yeah,ndio teule za Samia hizi.
 
Huyu poyoyo anadhani vitisho kipumbavu ndio uongozi sidhani kama Dar inahitaji mpuuzi kama yeye ....atuambie strategies kuongeza makusanyo na kutatua kero moja moja kwa eneo....husika yeye hajui aanzie wapi.....anapiga kelele kijinga....eti hakuna wa kunifanya lolote dhaifuuuuu
 
Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.

Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa
Ahahahahaahahahahahahahahhahahaah bro umenichekesha mno!

Chalamila huwa anachekesha sana kwakweli. Nahisi hajakutana na Watoto wa kitaa...yaani atafumuliwa kama Kuku!

Chalamila anaonekana kama alikuwa na tabia chafu sana utotoni na bahati Mbaya sana hakuwa kuzifanyia kazi namna ya kuziepa! Kuna siku nilikuwa kwenye Mkutano wake akasema 'mimi uniteue, unitumbue waala Sina habari' nikawaza aliyemteua anamuonaje!

Lakini kwenye argument yuko vizuri sana..kasoma philosophy zote nadhani!
 
Akili zake ni sawa na aliyemteua!!! Wahenga waliposema ndege wanaofanana huruka pamoja maana yake ndio hii!!. Samia+Chalamila = 0 brain.
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Huyu ni mpumbavu.
Katika utawala wa sheria hatufai.
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Niko mbali na mkoa wa Dasalam ila kwa kauli ya mheshimiwa Chalamila ningesimama kuitetea Dar kwa kuomba pambano na huyo mnyalu ili ajue wanaume wa Dar hasa wa kutoka Keko hatuna shughuli ndogo hata kidogo .

Mwambieni ashukuru mtetezi wa watu wa Dar niko nje ya mkoa kwasasa.
 
Acha blaa blaa wewe utavunjwa miguu tu hiyo uanze kubebwa kama mbuzi epelekwaye machinjioni.
 
Back
Top Bottom