Ana mambo ya kiseng seng kijinga jinga mno, simbilisi kabisaMh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-