Jinga moja tu...Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
HaijawahiMkuu, unamaanisha Tanzania haiko serious?
-Kaveli-
Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Mteule wa rais huyo anaongea hivyo halafu bado tu yuko kazini kutukana wananchi ambao hawakumchagua.
System ya hovyo sana tuliyonayo na ndiyo maana hata mwendazake makosa yalikuwa haya haya system mbovu.
Hovyo kabisa.
Labda anavyomtisha mke wake anafikiri na apa DSM, ni ivyo ivyo anaweza akapigana na majini yaliyomuondoa makonda pale kwy kitiHuyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.
Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi hawazi akapigana hata na konda wa daladala. Atqpigwa kwamq mwanamke
Tena ilifaa mh Chalamila aanze na wewe akutwange hilo limdomo lako unalotukaniaga mimatusi yako kama kichaa.Jinga moja tu...
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Ni kuchapa tu ngumi na makofi majitu kama ya kina Mdude ni kupiga tu ngumi mpaka yanyooke na kushika adabuAnalazimisha kutumbuliwa, nitashangaa kama mamlaka zitaendelea kusitasita kumtumbua.