Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
....kwa sababu ni kijana zwazwa haswa.....Sasa Mdude unamtaja kwenye mada hii wa nini?
Logical fallacy [emoji1787]Inasikitisha sana! Tuna vijana tele wanatafuta kazi masikini... ila kuna wasiojitambua wanamkazania mtu awe ambapo yeye mwenyewe hataki! Yaani jamaa hataki kazi ila analazimishwa na mapesa anakula... dahh! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]
Hii rangi ina laana hii
Unaongea kitoto sana...
Unaongozwa na HISIA sanaaa....
Mh.RC Chalamila ni kiongozi mwenye maskhara tu....
Hizo ni mbinu zake.....na anafanikiwa.....
Jiji la Dar es salaam linahitaji maRC wenye HULKA yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jiwe alikuwa anawachana live mnamsifia, Chalamila akiwachana makavu Mnamuita kichaa,Kamatia hapo hapo Chalamila.
[emoji1787][emoji1787]
Mdude Nyagali hovyo sana jamaa yule....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukweli ndiyo huo.Mkuu, unamaanisha Tanzania haiko serious?
-Kaveli-
Sheria inasemaje kuhusu kutii sheria bila shuruti?Na inaposema hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria maana yake ni nini?Mkuu, nini maoni yako endapo Mh RC kuna watu wanamzingua?
-Kaveli-
Dar ndy sehem pekee watu wanapigana na maneno aka mipasho yaan unaona wanakaribia kuzichapa kumbe hamna ni mipasho tu huku wengine wakisikilizia mipasho huku wanasema "weuwee pambeee jamani "
NB: hiyo ni kwawote yaan wanaume na wanawake pia.