RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Inasikitisha sana! Tuna vijana tele wanatafuta kazi masikini... ila kuna wasiojitambua wanamkazania mtu awe ambapo yeye mwenyewe hataki! Yaani jamaa hataki kazi ila analazimishwa na mapesa anakula... dahh! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]

Hii rangi ina laana hii
Logical fallacy [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuona tunaongozwa na viongozi wa namna gani.
Yaani katopea kwenye ulevi wa madaraka kiasi kwamba hata kanuni, sheria na taratibu za utumishi hana haja ya kuzizingatia. Kwa maana nyingine anamwambia aliyemteua kwamba naye hawezi kumfanya chochote.
 
Kiongozi Kiongoz Kiongozi .... unatoa lipicha gani kama kionngozi? Hasira zako ziweke faraghani bro. Kwa nafasi yako hiyo mineno haiko poa braza! Au ndo za awamu hii?
 
Unaongea kitoto sana...

Unaongozwa na HISIA sanaaa....

Mh.RC Chalamila ni kiongozi mwenye maskhara tu....

Hizo ni mbinu zake.....na anafanikiwa.....

Jiji la Dar es salaam linahitaji maRC wenye HULKA yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Na ameidhibiti Dar vyema kabisa. Hakuna cha panya road wala panya buku wala panya coco.

Ni aina ya Kiongozi anayehitajika sana kwenye jamii zetu za sasa zilizojaa ujuaji na 'business as usual' mindset.

-Kaveli-
 
Kiongozi Kiongoz Kiongozi .... unatoa lipicha gani kama kionngozi? Hasira zako ziweke faraghani bro. Kwa nafasi yako hiyo mineno haiko poa braza! Au ndo za awamu hii?

Labda ni mbinu za kivita mkuu, kujiself-defence. 😄

-Kaveli-
 
Dar ndy sehem pekee watu wanapigana na maneno aka mipasho yaan unaona wanakaribia kuzichapa kumbe hamna ni mipasho tu huku wengine wakisikilizia mipasho huku wanasema "weuwee pambeee jamani "
NB: hiyo ni kwawote yaan wanaume na wanawake pia.

Kwamba kabobo miiingi lakini vitendo sifuri? yaani 'kuzichapa kwa Bluetooth' a.k.a mikwala mbuzi?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom