Life is treating Me well , Mkuu Kaveli
How is you??
Long time no see🥰
Atajiua tu maana Wahehe kwa kujinyonga ni dakika sifuriMkuu, nikukutanishe naye halafu mpande ulingoni?
Amesisitiza kabisa kuwa kwenye suala la 'matano matano' a.k.a 'ngumi jiwe' yeye ni moto wa kuotea mbali.
-Kaveli-
Jitahidi tusipoteane sana hapa mjini JFPleasure to hear that you doing fine.
Mie niko good and healthy. Still balling until end of time. I'm thankful to the Almighty.
Kweli it has been a while no see, no retouching the base around here. JF ishakuwa jiji kubwa dear, chochoro mob. Yapaswa kuielewa mitaa, otherwise ni kupishana tu koridoni pasipo kuonana kana kwamba tupo zero brain Posta mpya. 😀
-Kaveli-
😂😂😂😂Atajiua tu maana Wahehe kwa kujinyonga ni dakika sifuri
😂😂😂😂Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.
Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa
Karibu uzi wetu wa. Selfika chitchatUko sahihi mtakatifu Anne. cheers...
-Kaveli-
Huyu apelekwe milembe kabisa kabisa!RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View: https://x.com/jamiiforums/status/1708484384708243476?s=46
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Kaka nashida nawe sikupati nipigie 0621282539Hatari sana mkuu, lakini salama. 😎
-Kaveli-
Anatakiwa kukamatwa Kwa kitishia!Huyu kwa Nchi serious hafai kuwa hata diwani.
Huyu RC Chalamila ni bwege sana,Labda angesema "kutoa bastola " na sio kuchomoa mashine, vijana wa kijiweni hawaelewi.
HakikaAna talanta nyingi sana huyo mwamba.
Long live RC Chalamila.
-Kaveli-