RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Life is treating Me well , Mkuu Kaveli
How is you??
Long time no see🄰

Pleasure to hear that you doing fine.

Mie niko good and healthy. Still balling until end of time. I'm thankful to the Almighty.

Kweli it has been a while no see, no retouching the base around here. JF ishakuwa jiji kubwa dear, chochoro mob. Yapaswa kuielewa mitaa, otherwise ni kupishana tu koridoni pasipo kuonana kana kwamba tupo zero brain Posta mpya. šŸ˜€

-Kaveli-
 
Jitahidi tusipoteane sana hapa mjini JF
 
Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.

Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mhe Albert Chalamila
Ndani ya Chako ni chako kwa Apostle Bulldozer Mwamposa

Jamaa ni bonge la worshipper aisee nyie sio utani šŸ˜‚
 
Attachments

  • IMG_20240706_012624_827.jpg
    IMG_20240706_012624_827.jpg
    1.5 MB · Views: 9
  • IMG_20240706_012624_033.jpg
    IMG_20240706_012624_033.jpg
    1.6 MB · Views: 4
RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...

View: https://x.com/jamiiforums/status/1708484384708243476?s=46

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-

Huyu apelekwe milembe kabisa kabisa!
Hajielewi wala hajuwi cheo chake kinahitaji afanye nini!
 
Mhe Albert Chalamila
Ndani ya Chako ni chako kwa Apostle Bulldozer Mwamposa

Jamaa ni bonge la worshipper aisee nyie sio utani šŸ˜‚

Ana talanta nyingi sana huyo mwamba.

Long live RC Chalamila.

-Kaveli-
 
Huyu apelekwe milembe kabisa kabisa!
Hajielewi wala hajuwi cheo chake kinahitaji afanye nini!

Kama hajielewi, angedumu kwenye nafasi za RC kwa awamu zote hizo?

Mamlaka ya uteuzi inaona ana kitu kwenye uongozi.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom