Uislam na Ukristo huwezi kuvifuta tvKiongozi yoyote duniani ajaribu kulifunga kanisa Katoliki tuone itakuwaje!!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam na Ukristo huwezi kuvifuta tvKiongozi yoyote duniani ajaribu kulifunga kanisa Katoliki tuone itakuwaje!!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
SahiiIfike wakati wanasiasa waache kuapa huku wakiwa wameshirikira vitabu ya dini,ashikirie katiba ya nchi na ilani ya vyama vyao.
Lucas mwashambwa akiona hiii atajikojolea 🤣🤣akiskia majimama ya kununulika....na wakati yy ndo anategemea teuzi humoHuyo Mbuzi anaongea hivyo maana anajua katiba mbovu iliyopo unafanya wapumbavu na mashangingi wawe maraisi wa hii nchi. Yani majimama ya kununulika kwa kodi ya nyumba yanaongoza nchi na hayafanywi chochote.
Ni kweli tupeni katiba mpya halafu atokee mtawala afunge makanisa au misikiti na masinagogi aone tutakacho mfanya. Tena katiba mpya isipowekwa utawekwa kwa damu za hao mashangingi majimama ya buza mliyoyakabidhi kutuuza.
Chalamila ni spika tu mtangazaji yuko kwao KizimkaziAsalam
Ni J3 mpya na njema kwa kila mtu. Lkn kama kawaida katika kupitia hotuba za viongozi, leo nimepitia MBILI za RC wa Dar es Salaam, Mh. Chalamila. Ameongea mengi, ameupiga mwingi kwenye jukwaa la siasa za kileo za Tz. Lkn kubwa nililo liona ni MASHAMBULIZI DHIDI YA UKRISTO. Tuangalie Dondoo,
1. Ametamka kinywani kwake kuwa ukristo unamtukana Rais.
2. Ameonya kuwa Serikali inaweza kuyafuta makanisa
3. Hajatamka hata neno moja dhidi ya UISLAM, MSIKITI WA SHEIK
Ukiyaangalia hayo kwa undani, haya yanawezekana kuwa nyuma ya hili jambo.
1. Ni mbio zake za kutaka kupendwa na siasa za Dsm akidhani hapa dar Uislam ni mpana kuliko ukristo.
2. Ametumwa kusema hayo na waliomtuma.
3. Hajui lolote katika afanyayo, anachoamka nacho ndio anaenda nacho.
Athari zake akiendelea
1. Anazidi kuonesha chuki ya Seriki dhidi ya wanaoikosoa hasa TEC (Ambao by implication ndio anawasema). Hili ni tatizo sana katika propaganda ya CCM. Hapa Chama kisikae kimya, kinaharibu. Kanuni kuu ya propaganda ni usishambulie kundi kubwa, ungana nalo kwa kuwa unataka kura zake.
2. Atapoteza agenda muhimu za maendeleo kwani hata afanyaje yeye DAR bado ni mgeni, na hana nguvu na calibre ya Makonda.
3. Hatazingatiwa kwenye masuala yake. Ataonekana jitu tu jingajinga
Afanyaje?
1. Awe diplomatic kama PM Majaliwa. Heshimu taasisi za kidini
2. Ajitenge kuiga hotuba za Mama. Haziwezi.
3. Atembelee madhehebu yote. Kujificha kwenye Ulokole na kuyakimbia Lutherans, Catholics na Anglican haitamsaidia kitu.
Ccm ifanyaje
Ianze kujiandaa na uchaguzi kwa kuweka au kuwapa mafunzo hawa viongozi wake namna ya kufanya propaganda.

Shetani kashindwa nini? Usichanganye siasa na dini tafadhali kama kashindwa ni huku kanisani serikalini bado yupo.Kashiba ugali huyo ,Kama shetani ameshindwa si dhani kuwa Kuna mpuuzi anawezq
Huyu mbwatukaji kazidi sasaRC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia.
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote.
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali.
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi.
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Watu wana dini serikali haina dini usichanganye mambo weweIfike wakati wanasiasa waache kuapa huku wakiwa wameshirikira vitabu ya dini,ashikirie katiba ya nchi na ilani ya vyama vyao.
Waanze wao namanisha viongozi wote wa kisiasa wasiwe na dini maana watakuwa wanachanganya dini na siasa wachague moja.Maana yake dini na siasa zikichanganywa kutakua na matabaka mawili yaani waislam na wakristo maana ndio dini kubwa hapa tz
Mkristo akiingia madarakani bhc atakandamiza uislam na pia muislam akiingia madarakani nae atafanya hivo hivo
Xx hamuoni huo ni ukweli?
Chalamila wewe endelea kushindana na Mungu majibu yake utayapata very soon. Pigo Moja Takatifu utarudi hapa kubadilisha yote. Na ninamuomba Mungu akuonyeshe ndani ya siku 7.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia.