Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hata kama tutafika lakini majeruhi tutakuwa ni wengi sanaNdio safari tumeianza.
Sijui tutafika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama tutafika lakini majeruhi tutakuwa ni wengi sanaNdio safari tumeianza.
Sijui tutafika!
Wazo zuri, sijawahi kuziona saruji chin ya kg 50.Sijawahi kuona mifuko ya saruji
Kg 25
Kg 10
Kg 5
Hivi hili jambo haliwezekani ? Au ni utarstibu wa dunia nzima
Ukiona wanaanza kuzungumzia maswala ya ‘capital allowance’ kwa wawekezaji ndio ujue wanaanza kuwa serious na Tanzania ya viwanda na uwezekano wa kutengeneza ajira mia nane.
Hata kilo moja unapima.Wazo zuri, sijawahi kuziona saruji chin ya kg 50.
Bora ziwepe kama sukar ilikua kweny paketi spesho inaanzia kg 1, sahiz mpaka robo ipo ya jero.
Mtu unanunua saruji Kg 50 halafu unatumia Kg 20 inayobaki inaharibikaWazo zuri, sijawahi kuziona saruji chin ya kg 50.
Bora ziwepe kama sukar ilikua kweny paketi spesho inaanzia kg 1, sahiz mpaka robo ipo ya jero.
Vipi hapo Mafiat nasikia mpaka bei ya ile bidhaa ya utamu imepanda pia[emoji16]Wewe uko mbeya ama umemsikia kwa tv
naishi mafiati
Kiongozi anatoa vision ni jukumu la makatibu wakuu kuwashauri mawaziri namna sahihi ya kufikia hiyo azma.Ahaaa ahaaa, halafu utasikia "nasema uongo ndugu zangu"
Huyu Chalamila akili zinamtosha kweli?Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu wizara ya viwanda na biashara kuandaa kikao cha wadau wa cement kujadili bei ya bidhaa hiyo.
Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo wasafirishaji cement ni sekta muhimu ya kujadiliana nao kumaliza kadhia hii.
Chanzo: ITV habari!
Hawezi pata yuleAnauvizia uwaziri
Huyu kauona ukweli upo wapi na alichofanya ni busaraMkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu Qizara ya Viwanda na Biashara kuandaa kikao cha wadau wa Cement kujadili bei ya bidhaa hiyo.
Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya Cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo wasafirishaji Cement ni sekta muhimu ya kujadiliana nao kumaliza kadhia hii.
Chanzo: ITV habari!
Na kujadili itapendeza maana watajua wapi kuna tatizoAcha uongo bei ya simenti kiwandani ni ile ile ila mtaani ni tofauti alicho sema anataka wajadili hali hii sio kwamba Mbeya simenti haijapanda
Mimi sio Engineer wa ujenzi, lakini kutokana na uzoefu wangu wa saidia fundi, Mara nyingi mfuko wa cement una zile klai za zege 3 ambazo zinatumika kubalance uwiano wa mchanga kwenye plaster (sjui kiswahili chake vizuri) na kusakafia ..au kubalance na kokoto wakati wa kumwaga zege.kwa mantiki hiyo basi unakuta mfuko mzima unachukua uwiano wa 3:12 yaan kalai moja ya cement ina chukua kalai 4 za mchanga. Nimechangia tu sio kwamba ndo mantiki yake ..Sijawahi kuona mifuko ya saruji
Kg 25
Kg 10
Kg 5
Hivi hili jambo haliwezekani ? Au ni utarstibu wa dunia nzima