Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
ambaye hataki kuridhiana ni mtu mbaya kabisa nchini
Huyu mbumbumbu ameshiba kodi zetu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waandishi wa habari na vyombo vya habari nchini kuwa mabalozi wema katika kueneza na kuunga mkono jitihada za maridhiano ya kitaifa zinazoongozwa na Rais Samia
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 11, 2026, Chalamila amesisitiza kuwa mchakato wa maridhiano ni nguzo muhimu katika kulinda amani na kuchochea maendeleo ya nchi, na kwamba hakuna nafasi ya kuendeleza migogoro isiyo na tija.
"Kama kuna mahali popote panahitaji sisi kuridhiana, tufanye kazi ya kuridhiana. Tusiendeleze ugomvi ambao utarudisha nyuma maendeleo ya taifa letu," amesema Chalamila.
Aidha, RC Chalamila ameeleza kuwa kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida katika jamii yoyote, lakini hakupaswi kugeuka kuwa chanzo cha kuvunja amani ya nchi, amewataka wananchi na wadau wote wa maendeleo kujitokeza na kuunga mkono mchakato huo bila kujitenga, akibainisha kuwa milango ya kutoa maoni ipo wazi na kila sauti itasikilizwa.

Kuna mtu kauliza yeye kama raia mhanga wa tukio la Oct 29 wajibu wake ni upi katika kuridhiana na inreturn ategemee nini kuondoa machungu ya kilichompata?ambaye hataki kuridhiana ni mtu mbaya kabisa nchini
Mngeyajua hayo basi kusingekua na utekaji mna ushindi 97% ambao hau reflect kukubalika kwenu hata kidogo mtaa umewakataa mtaa umewapuuza