RC Chalamila: Tufanye kazi ya kuridhiana, tusiendeleze ugomvi. Asitokee mtu kusema mimi sitaki kuridhiana

Huyu mbumbumbu ameshiba kodi zetu.
 
 

Attachments

  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 9
Anataka kama nani Tanzania, yeye ni mkuu wa mkoa Dar es salaam mimi wa Kigoma hanihusu.
 
Maridhiano ya kweli ilitakiwa yafanyike kabla ya uchaguzi mkuu wa Oct.2025, mkajiona nyie wamba mkanajisi uchaguzi na kuua waTanganyika. Sasa mnalazimisha Maridhiano.

Hata sasa, hakuna maridhiano bila uwajibikaji. Wote waliohusika kwenye mauaji ya Oct.2025 wawajibishwe kisheria, kila mmoja kwa nafasi yake na kwa namna alivyohusika.

Bila wahusika kuwajibishwa mauaji mengine yatatokea miaka ijayo kwa sababu wataona hakuna wa kuwawajibisha.
 
Unaua na kutesa watu halafu unahubiri tuwe wamoja,wao wangeweza?

Wasubirie tume zao za mchongo kama wameona ndio suluhu kwao
 
ambaye hataki kuridhiana ni mtu mbaya kabisa nchini
Kuna mtu kauliza yeye kama raia mhanga wa tukio la Oct 29 wajibu wake ni upi katika kuridhiana na inreturn ategemee nini kuondoa machungu ya kilichompata?
 
Mngeyajua hayo basi kusingekua na utekaji mna ushindi 97% ambao hau reflect kukubalika kwenu hata kidogo mtaa umewakataa mtaa umewapuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…