RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

Hakuna alikoonesha ujuzi wa kutumia lugha hapo.Anajipendekeza mpaka Bosi anaona aibu kwa upuuzi anaoongea!
Ameniangusha sana Mwl wangu!!!!
Amekufundisha nini huyo kilaza?
 

Kuna watu wanajua kujikomba jamani.😂
. Kujikomba kukizidi fahamu huondoka. Mishahara ya watumishi ni baki zao, hulipwa na hazina, si kwa upendeleo wa rais. Kwa mtazamo wake (wa kichonganishi)marais awali watumishi hawakulipwa.
 
Yaani wateule wa mkubwa wanajipendekeza mpaka kero
 
Kwamba Rais anawasaidia kulipa mishahara ya watumishi mkoa wa mbeya,utadhani Rais ana pesa zake na sio kodi za wananchi yaaani haya mateule yanajipendekeza pendekeza kweli kweli.saa hizi serikali haisiakiki na chama akisikiki ila ni magufiri,wanatengeneza mtu kuanmkubwa kuliko serikali na chama,wanachokifanya ccm watakuja kujuta na Mkapa aliwai kuwataadharisha hawataki kusikia,ccm baada ya magu watapata shida sana kumnadi mgombea wao wa urais.
 
Tangu aseme anapenda michepuko,huyu mkuu wa mkoa nikajua ni mropokaji
Kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti mbunge wa jimbo jirani kachangia millioni moja, yeye Rc mzima linalia kwa Rais eti Mheshimiwa Rais si unajuwa hatuna hela mimi nitachanga laki mbili, huu ndio unafki unaowakabili maccm wengi, Rc kachoka kama sisi tu halafu jukwaani unajaza ujinga watu wasiojitambuwa, too bad.
 
Kwasasa akili itamkaa sawa maana kashushuliwa Kyela tena na Mpuguso akiendelea kutambulisha uongozi mkulu akasimama na kwenda kwenye mic na kumwambia ukitaka kuwatambulisha andaa mkutano wako uje utatue kero zao yamemshuka Mzee wa michepuko
 
Kwasasa akili itamkaa sawa maana kashushuliwa Kyela tena na Mpuguso akiendelea kutambulisha uongozi mkulu akasimama na kwenda kwenye mic na kumwambia ukitaka kuwatambulisha andaa mkutano wako uje utatue kero zao yamemshuka Mzee wa michepuko
Watu wana utindio wa ubongo
 
Magufuri na ccm yake sio ruling party ,hili li rc la michepuko linachekesha kweli .
 
Huo ni mkakati ambao muda tu ndio utaamua. Hata Kagame alisemaga hivyo hivyo.
 
Hawa eti ndio tunategemea think tank zetu,waoga wa maisha wanataka kula Bure,akiambiwa atembee uchi asifukuzwe kazi anatembea hata kariakoo mchana, viongozi wanyonge hadi aibu lkn wakifukuzwa akili zinarudi wanaishia mipasho eg: nape.
 
DO NOT TAKE THEM SERIOUSLY

KAMA ANATAKA VYAMA VINGI ASINGEFANYA MAMBO MABAYA KWA OPPOSITION.
 
Huyo ni sawa na kina Nkamia akitegemea uwepo wa magufuli waendelee kuneemeka
 
Tatizo hatuna vigezo vya uteuzi wa viongozi kujuwa kusoma na kuandika hakutoshi ndio maana viongozi waliozoea kujipendekeza hili wapewe vyeo hata katiba yetu wapo tayari kuivuruga kwa masirai yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…