RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

Hahahaa........ Huyo ndio Chalamila bhana jamaa yake Sugu!
Kwa sugu amegonga mwamba. Kwenye malumbano ya hoja alikuwa anajib juu juu tu. Huyu anajiona bado ni kada wkt ameshateuliwa kuwa mkuu wa mkoa. Awaze kama RC. Hawaon ma RC wenzie walivyo.. yeye kutwa akili mpeperuko
 
Ni vile tu hamna kiongozi anayetaka kuwa wa kwanza chafua historia ya nchi,au kuwaonea aibu marais wenzake wastaafu ila kwa aina hii ya kujikomba mpaka kupitiliza ni rahisi sana kubadili katiba na kujiongezea muda.

Au pengine labda kuna mfumo unaowabana wasijiongezee muda.​
 
Hivi vetting ya hawa watu inafanyikaje ati, maana akili zao karibia wote zinashabihiana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani alimwambia
Ingia youtube, juzi magu kamwagushia balaa hadharani kwamba kila wakati anatamani wake za watu kwa nini hatamani kujenga soko la madini? Akampa siku 7 za kutamani soko la madini badala ya kutamani wake za watu.
 
Mambo Mengi Sana Ya Aibu Kuyasema Hadharani
nimeshanga sana .....ccm kiujumla mnatukanwa live mkuu wa mkoa/kada/mteule wa raisi... kutamka maneno kama hayo inaonyesha hamjitoshelezi ..........................tukirudi kwenye jibu la mhe raisi hayo ni mawazo yakupingwa sana hayatakiwi kusikika mbele ya umma sababu inapingana na historia ,maisha halisi ya tanzania pia yanachangia munkari kwa baadhi ya wananchi na uoga pia sababu tupo icu na huyo jiwe sasa hivi sasa nikisikia mnataka toa chama chake inatisha
 
Kuna watu wanajua kujikomba jamani.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijawai ona dunia hii kama njaaa imezidi kiasi hichi
 
Ingia youtube, juzi magu kamwagushia balaa hadharani kwamba kila wakati anatamani wake za watu kwa nini hatamani kujenga soko la madini? Akampa siku 7 za kutamani soko la madini badala ya kutamani wake za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikaicheck na jamaa naongea kama mzaramo
 
Mwalimu wa kiswahili huyo, bingwa wa kuchomekea maneno. wanambeya wanamkubali sana huyo mwamba wa lugha, hapo kawaacha CHADEMA , ACT, na wengine kuitafakari kauli hiyo bila majibu
Wana Mbeya gani wanaomkubali mkuu.?
Aisee bange mbaya sana.
 
Wishful thinking kama tungekuwa na JK RULLING PARTY then sasa hivi kungekuwaje
 
Akijibu hoja hiyo mh: raisi amesema "Mkuu wa mkoa anatamani kuwa na chama kimoja, lakini mimi natamani kuwe na vyama vingi sana vitakavyoleta ushindani lakini siku zote Ccm ndio iwe inashinda kwasababu ni kwa mujibu wa katiba yetu".

Hapo kwenye bold sijaelewa kabisa, kwamba ccm kushinda ni kwa mujibu wa katiba!? Sehemu gani hapo?
 
Mwalimu wa kiswahili huyo, bingwa wa kuchomekea maneno. wanambeya wanamkubali sana huyo mwamba wa lugha, hapo kawaacha CHADEMA , ACT, na wengine kuitafakari kauli hiyo bila majibu
Hakuna alikoonesha ujuzi wa kutumia lugha hapo.Anajipendekeza mpaka Bosi anaona aibu kwa upuuzi anaoongea!
Ameniangusha sana Mwl wangu!!!!
 
Back
Top Bottom