Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani.
Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa).
Sasa umekuja hapa kwetu Dar, jengo limeporomoka tangu saa mbili asubuhi na masaa manne bado hapakuwa na huduma ya uokozi ya kueleweka. Kweli kirikuu inabeba majeruhi? Ulishindwa kutafuta ambulance? Kweli wananchi wanavunja kuta na sururu kuokoa wahanga?
Nina uhakika Paul Makonda angekuwa hapo angejiongeza na angepiga simu moja tu wachina wangeleta magreda hata 10. Mambo ya mafuta angejua baadae, simu moja tu angepiga wadau wangeleta ambulance hata 70, wewe hujui kujenga MAHUSIANO bora na watu na wadau na taasisi binafsi ambazo zimekuzunguka ama we ni mbinafsi? Uliogopa kutoa hela yako mfukoni ya mafuta ya greda Ili kuokoa wananchi wako unaowaongoza kama huna wadau wa kukusaidia?.
My president Dr. Samia, its high time nakuomba mrudishe Paul hapo Dar, huo ni uso wa nchi. Huyo Chalamila mpeleke Arusha kule atawezana nao maana wale nao wanatakaga vichwa moto kama yeye.
Katika siku ambayo Tanzania tumepata aibu kimataifa ni Leo, huu mtaa wote wa msimbazi zimejaa V8 za serikali lkn hawabebi majeruhi zaidi ya kirikuu na toyo.... Hizi V8 za kazi gani hapa kariakoo?

Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji....palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa).
Sasa umekuja hapa kwetu Dar..jengo limeporomoka tangu saa mbili hasubuhi na masaa manne bado hapakuwa na huduma ya wokozi ya kueleweka...kweli kirikuu inabeba majeruhi? Ulishindwa kutafuta ambulance?? Kweli wananchi wanavunja Kuta na sururu kuokoa wahanga???
Nina uhakika Paul Makonda angekuwa hapo angejiongeza na angepiga simu moja tu wachina wangeleta magreda hata 10. mambo ya mafuta angejuwa badae, simu moja tu angepiga wadau wangeleta ambulance hata 70... wewe hujui kujenga MAHUSIANO bora na watu na wadau na taasisi binafsi amabzo zimekuzunguka...ama we ni mbinafsi? Uliogopa kutoa hela yako mfukoni ya mafuta ya greda Ili kuokoa wananchi wako unaowaongoza kama huna wadau wa kukusaidia?.
My president Dr. Samia...its high time nakuomba mrudishe Paul hapo Dar, huo ni uso wa nchi...huyo Chalamila mpeleke Arusha kule atawezana nao MAANA wale nao wanatakaga vichwa moto kama yeye....
Katika siku ambayo Tanzania tumepata aibu kimataifa ni Leo, huu mtaa wote wa msimbazi zimejaa V8 za serikali lkn hawabebi majeruhi zaidi ya kirikuu na toyo.... Hizi V8 za kazi gani hapa kariakoo?
Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani.
Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa).
Sasa umekuja hapa kwetu Dar, jengo limeporomoka tangu saa mbili asubuhi na masaa manne bado hapakuwa na huduma ya uokozi ya kueleweka. Kweli kirikuu inabeba majeruhi? Ulishindwa kutafuta ambulance? Kweli wananchi wanavunja kuta na sururu kuokoa wahanga?
Nina uhakika Paul Makonda angekuwa hapo angejiongeza na angepiga simu moja tu wachina wangeleta magreda hata 10. Mambo ya mafuta angejua baadae, simu moja tu angepiga wadau wangeleta ambulance hata 70, wewe hujui kujenga MAHUSIANO bora na watu na wadau na taasisi binafsi ambazo zimekuzunguka ama we ni mbinafsi? Uliogopa kutoa hela yako mfukoni ya mafuta ya greda Ili kuokoa wananchi wako unaowaongoza kama huna wadau wa kukusaidia?.
My president Dr. Samia, its high time nakuomba mrudishe Paul hapo Dar, huo ni uso wa nchi. Huyo Chalamila mpeleke Arusha kule atawezana nao maana wale nao wanatakaga vichwa moto kama yeye.
Na nyie mjiongeze mnapotaka kuomba msaada, mnatakiwa mihusishe Chadema kwenye eneo la tukio ninakuhakikishia chini ya dakika mtapata waokoaji wa kila aina wenye silaha za kila aina.
Nilisikia aliyepigiwa simu akiuliza kama ndani ya ghorofa hilo lenye maduka kama wamo watu, hao watu wakoje warefu au wafupi, wanene au wembamba!