RC Chalamila: Wafanyabiashara wa Kariakoo wajitafakari, migomo siyo suluhisho

Tunatingisha ila ipo wazi Wafanyabiashara kugoma kwa zaidi ya wiki si rahisi sababu ili hilo litokee inabidi tuwe na reserve ya kutosha kulipa mikopo.

Unless, kama inawezekana kushawishi mabank yatoe grace period ya miezi kama mitatu ya kutopeleka marejesho ili kuwezesha hilo zoezi la kugoma mpaka kusikilizwa kukamilika.

Pia serikali ina mbinu nyingi sana za kutugawanya tusiwe kitu kimoja kwa matamko tu, mfano serikali ikisema:

"ATAKAYEFUNGA DUKA KWA SIKU ZAIDI YA TATU ATAFUTIWA LESENI NA KUTAKIWA KUOMBA UPYA, UTARATIBU HUU UTAAMBATANA NA KULIPA MADENI YOTE YA KIKODI KABLA YA KUPATIWA LESENI"

Wafanyabiashara tunagawanyika, unless lile la marejesho liwe limewezekana. La marejesho likiwezekana Serikali itaingiwa na hofu maana ikipita wiki tu bila biashara kutachafuka vibaya mno.
 
Kawaambia ukweli.hao ni wakwepa kodi wanataka kukandamiza wananchi.haiwezekani maskini wa nchi hii wawalipe kodi matajiri hiyo kitu haiko duniani
Mimi naona tatizo siyo ukwepaji kulipa Kodi, Bali tatizo ni matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi ambayo Serikali inafanya.

Siyo siri hata kidogo, inavunja moyo Sana kuona Serikali inatumia Kodi zetu vibaya kwa matumizi yao ya anasa, yasiyofaa Wala yasiyokuwa na faida yoyote ile kwa Wananchi walipakodi.
 
Ww sio mfanyabiashara na kkoo haikuhusu kaa kimya, endelea kuuza friji zako na vitumbua kimara. Kaa kimya. Mdafaka
 
Ww sio mfanyabiashara na kkoo haikuhusu kaa kimya, endelea kuuza friji zako na vitumbua kimara. Kaa kimya. Mdafaka
Una mihemko tu ugome halafu ule mkopo ulioweka dhamana nyumba ya wazazi nani alipe?
 
Wamesikilizwa au wajiepushe tu bila kujua hatima yao.
Busara kuwasikiliza na kufanyia kazi mapendekezo yao kadri ya uwezekano.
 
Una mihemko tu ugome halafu ule mkopo ulioweka dhamana nyumba ya wazazi nani alipe?
Fikra mbaya zifute, mgomo haujaja ghafla,
Hmna chizi kkoo anakopo mkopo wa nyumba ya mama yake.
Na usidhani union ilioanzisha hii strike ni matahira,
Nimekueleza, don't come with your grounds on someone's possessions. Utaliwa.
Kkoo haikuhusu huna unachoweza andika.
 
Yeye
Anayesema haya Hana Biashara hata ya Karanga akakutana na Kodi za TRA zisizo na huruma.
 
Bado unaendeleza mihemko, ukiachana na mihemko ukarudi kwenye uhalisia utakumbuka kuwa mikopo ina dhamana na hakuna mfanyabiashara wa kukubali dhamana ipotee kwasababu aligoma zaidi ya wiki. Serikali inalijua hili na ni fimbo yake kuu katika hili.

Unless mabank nayo yaungane na wafanya biashara na kutoa grace period ya kusitisha marejesho kipindi cha mgomo.

Hili likiwezekana Serikali itakuwa imenyang'anywa fimbo na itabaki na matamko ya ufutaji leseni na mambo ya kodi, hayatakuwa na impact sana iwapo mabank yapo na wafanyabiashara.
 
Yeye allichukua hatua gani wakutatua matatizo yao kabla hawajachukua uamuzi wa kugoma?

PM na Waziri wamekwenda pale lakini hakuna suluhu zaidi ya blahblah tu.
Wajifunze sasa kutatua matatizo na kero za wananchi na sio kuwadharau kila siku na kuwaona watumwa wao.
 
Mm sina mkopo, na nna mifano ya wengi hawana mikopo, mbona point yako too soft mzee. Come up with something. Usiropoke.
Huu si mgomo wa Kwanza ikumbukwe
 
Boss, si rahisi mwanasiasa kumuelewa mfanyabiashara, si rahisi mwajiriwa serikalini kumwelewa mfanyabiashara. Siku zote mfanyabiashara ni kama adui badala ya mshirika, anatungiwa sera za kudhibitiwa. Kabla hujaanza biashara Serikali imeshakudhibiti kupitia mifumo ya kifedha na kikodi na lazima ujae kwenye mfumo.
 
Mm sina mkopo, na nna mifano ya wengi hawana mikopo, mbona point yako too soft mzee. Come up with something.
Biashara rasmi zenye maana zina mikopo, huo ndo uhalisia wa biashara. Hata kama una mtaji mkubwa kwa mifumo yetu na maafisa wetu wa kodi lazima utakopa unless unataka mtaji wote uishie kwenye kulipa kodi. Utapigwa examination na kupewa findings za ajabu hujakaa sawa notice of disc hiyo hapo mara assesment mlangoni kwako na Dr namba zake. Hata kama una mtaji, mikopo inatusaidia kutupa kichaka cha kuficha kuwa hatuna ukwasi tunategemea mikopo.
Usiropoke.
Huu si mgomo wa Kwanza ikumbukwe

Huu si mgomo wa kwanza ndio na madai ni yale yale unadhani kwanini? Sababu ni ile ile Serikali inajua udhaifu wetu ulipo na upo kwenye sekta ya fedha huko kwenye mabank na wanajua hatuwezi kugoma muda mrefu. Wanachofanya ni kutuhadaa na wanajua tutarudi tu kufungua biashara maana hatuna mbadala. Huo ndo uhalisia.
 
Shithole min
D
Shithole country
 
Unifungie lesen kwa sababu sijafungui ndo nasikia kwako
Toka lini kufunga biashara ikawa ni kosa
 
Unifungie lesen kwa sababu sijafungui ndo nasikia kwako
Toka lini kufunga biashara ikawa ni kosa
Si kosa. Ila upo Tanganyika boss sio Uiengereza kwamba utaishtaki serikali ikulipe kwa wakati. Hapa usishange ukakuta kufuli kwenye bank zako zote kwa maagizo ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…