Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kuwa ni lazima wafanyabiashara wadogo (Wamachinga) waliopo Simu2000 waliodaiwa kugoma wakafahamu na kuelewa kuwa eneo walilopo ni la Serikali na ni lazima liendelezwe kwa manufaa ya Serikali na Wananchi.
"Wote lazima mfahamu kwamba hili eneo la Simu2000 ni eneo la serikali na ni lazima liendelezwe kwa manufaa ya serikali na wananchi, hii yote ni miradi ya serikali hata Kariakoo na Mwenge mnayoiona leo haikuwa hivo miaka ya nyuma lakini serikali imeendeleza maeneo hayo mpaka leo watu wanafurahia, mwanzo siku zote lazima utakuwa mgumu lakini serikali ina nia njema na wananchi wake" Albert Chalamila - Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Ameyasema hayo leo Jumamu Julai 13, 2024, siku ambayo aliwaahidi wafanyabiashara hao waliogoma siku ya Julai 8, 2024 na kufunga biashara zao na kuweka vizuizi vya kufunga barabara huku wakizuia magari kuingia na kutoka katika kituo cha daladala chanzo kikidaiwa ni kupinga uamuzi wa Manispaa ya Ubungo kukabidhi eneo wanalofanyia biashara kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa ajili ya kujenga karakana ya mabasi ya mwendokasi.
Itakumbukwa wafanyabiashara hao hawakuwa tayari kumsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo wakidai kuwa madai yao amshindwa kuyasikiliza kwa wakati, baada ya sintofahamu hiyo Chalamila alifika eneo hilo na kuwahasa wafungue biashara huku akiahidi kufanyia kazi madai hayo kwa kuketi na mamlaka nyingine na kuleta majawabu leo Julai 13, 2024,
"Wote lazima mfahamu kwamba hili eneo la Simu2000 ni eneo la serikali na ni lazima liendelezwe kwa manufaa ya serikali na wananchi, hii yote ni miradi ya serikali hata Kariakoo na Mwenge mnayoiona leo haikuwa hivo miaka ya nyuma lakini serikali imeendeleza maeneo hayo mpaka leo watu wanafurahia, mwanzo siku zote lazima utakuwa mgumu lakini serikali ina nia njema na wananchi wake" amesema Albert Chalamila
Hata hivyo Chalamila amewaonya wafanyabiashara hao kutorudia tena utaratibu wa kufunga barabara, ambapo amedai kwamba wakirudia kufanya hivyo hawatarudi kufanya biashara eneo hilo.
"Mkifanya tena mchezo kama mlioufanya juzi wa kufunga kituo cha mabasi cha Simu2000 nitawachukulia hatua wote kwasababu hiki kituo ni mali ya umma na sio yenu mngeweza kufunga maduka na biashara zenu mkaacha kituo kiendelee na shughuli zake lakini mkijaribu tena kufunga kituo mjue hamtorudi tena kwenye kituo cha simu 2000" amesema Albert Chalamila.
===============
CHALAMILA: ENEO LA SIMU2000 NI LA SERIKALI LAZIMA LIENDELEZWE
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema lazima Wafanyabiashara Wadogo (Wamachinga) waliopo eneo la Simu2000 waliofanya mgoma na kuziba Barabara wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali na lazima liendelezwe kwa manufaa ya Nchi.
Akizungumzia mpango uliopo wa sehemu ya eneo hilo kukabidhiwa kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa ajili ya ujenzi wa karakana, jambo ambalo lilipingwa na baadhi ya Wamachinga waliofanya mgomo, Chalamila amesema “Hii yote ni miradi ya Serikali, hata Kariakoo na Mwenge mnayoiona leo haikuwa hivyo miaka ya nyuma.”
Amesema hayo leo Julai 13, 2024 baada ya baadhi ya Machinga kugoma na kufunga Stendi ya Daladala katika Kituo cha Simu2000, Julai 8, 2024.
CHALAMILA: HATUWEZI KUENDESHA MKOA UKIWA NA MIGOMO-MIKOMO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Wafanyabiashara kuheshimu mamlaka ya Serikali na ya Mkuu wa Mkoa wakati akizungumza nao kuhusu mipango iliyopo kuhusu uendelezaji wa eneo la Simu2000, akiwakanya walioonesha kumpinga na kupinga mkakati huo.
Pia, ameonya tabia ya kufanya mgomo mara kwa mara kutoka kwa Wafanyabiashara akisisitiza sio njia sahihi ya kuendesha Mkoa, amesema hayo leo Julai 13, 2024 wakati akizungumza na Wafanyabiashara waliogoma na kufunga Stendi ya Daladala katika Kituo cha Simu2000, Julai 8, 2024.
CHALAMILA: CHEZEENI VIONGOZI WOTE ILA MSIGUSE HII KICHWA, NIPO LEVO NYINGINE YA MAAMUZI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaonya Wafanyabiashara waliofunga eneo la Stendi ya Daladala katika Kituo cha Simu2000, Julai 8, 2024, akisema bora wafunge biashara zao na sio kituo au Barabara.
Amesema “Kuna Watu mmepangana vilio, vimachozi, amekufinya mumeo unataka kuja kunililia mimi... chezeeni pote mnapoweza kuchezea, Viongozi wote chezeeni ila msiguse hii kichwa, nipo kwenye levo nyingine sana ya maamuzi.
Ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 13, 2024 wakati wa kikao kati yake na Wafanyabiashara wa Simu2000.
Wawekezaji wa Kichina.Labda kuna Wawekezaji.
Nyerere alitukosea sanaNdiyo shida ya hii katiba mbovu
Alidhani anatengeneza watu wazalendo kama akina Butibu, Warioba kumbe anatengeneza majangili ya mali za ummaNyerere alitukosea sana
Sasa inakuwaje maboss wa serikali mnapangiwa maishaMjinga huyu, Wananchi ndiyo maboss wa serikali, Hivi akili zake ziko wapi huyu?

Kama wananch ni amabosi tia mguu sasa uone kama leoleo hawakuzikiMjinga huyu, Wananchi ndiyo maboss wa serikali, Hivi akili zake ziko wapi huyu?
Miradi kwa ajili y manufaa ya wananchiMjinga huyu, Wananchi ndiyo maboss wa serikali, Hivi akili zake ziko wapi huyu?
Mvinyo wa madaraka unalevya. Hajui alipotoka na amesahau anapokwenda.Mjinga huyu, Wananchi ndiyo maboss wa serikali, Hivi akili zake ziko wapi huyu?
Wao wanakaa masaki osterbay bunju mbezi wakishirikishe we nani Kwan ujui ubinafsi wa mtzaWakati mwingine ni vema kutambua kuwa, Sheria hupindishwa kwa maslahi ya Umma.
Najua ni rahisi kukosoa kinachoendelea, kwa sababu tunafikiri katika Upeo wetu lakini hatufikiri katika upeo wa wafanya maamuzi.
Changamoto nayoona kubwa ni ushirikishwaji duni kwa wanachi kwani hawakupaswa kusikia uvumi kwa mikakati ya serikali yao kisha kujulishwa kuwa wanatakiwa waondoke.
Hii inawaathiri katika mwenendo wao wa kibisahara, kiuchumi na kisaikolojia kwa ujumla kwani hawakupewa muda wa maandalizi na kujipanga.
Maamuzi wanayoyafanya ni mazuri na yana maslahi mapana kwa wakazi wengi wa Dar Es Salaam na Taifa kwa ujumla lakini bado wangeyafanya bila kuathiri kundi dogo la watu waliokuwepo awali kwa kuwaandaa na kuwapa nafasi ya wao kujiandaa.
tuna kuruhusu ata pale rumumba jengo la ccm weka airport ya ndege si uwekezajiWengi watamdhihaki ila Yuko SAHIHI dsm kila sehemu wanataka kuweka Mabanda kila sehemu wanataka waifanye ya biashara
Na wananchi ndiyo hao!Miradi kwa ajili y manufaa ya wananchi
KachanganyikiwaKwa nini anafoka foka sana??
In a Democratic country like Kenya and not in Kingdom country like Tanganyika!!Mjinga huyu, Wananchi ndiyo maboss wa serikali, Hivi akili zake ziko wapi huyu?