RC Chalamila: Wafanyabiashara Wadogo wa Simu2000 wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali, lazima liendelezwe

Na wamkome kama walivyokoma ziwa la mama zao!
Jamaa he's a character, what a comedian walahi!
🤣😅😆
 
Yaani kiongozi ukimsikia anaropoka ushamba kama huu, ujue kuwa kwake ni bushoke wa kiwango cha 4G anatumwa hadi kuonja chumvi kwenye mboga maana hana pa kusemea stress zake anaamua kuzitransfer kwa wananchi kwa jeuri ya polisi na mabomu ya machozi

Hii ni kujitathimini kwamba presidency yote imebackfire hakuna mnachomsaidia huyu mama, busara huna dc wako mzee wa madanguro ndio kabisa mnatuhaibisha sana taifa la migomo mnalileta nyie kwa kuendeshwa na mtoto wa mtawala mwenye tamaa nakwakuwa ndiye anaeamua hatima ya ajira zenu🚮
 
Wao wanakaa masaki osterbay bunju mbezi wakishirikishe we nani Kwan ujui ubinafsi wa mtza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…