RC Chalamila: Wafanyabiashara Wadogo wa Simu2000 wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali, lazima liendelezwe

Nafikiri ni muda wa kupima akili kabla ya kumteua mtu
Nalaani maneno yake Gen Z do anything you like but wa tanzania ni viazi mbatata nikianzia na mimi mwenyewe na nyie wote mliobaki
 
Napenda sana viongozi wenye kujiamini ila wasisahau kuna haki za watu sio kila siku serikali ipo sawa. Haki za watu ni muhimu saba kuzizingatia sababu hata maandiko yanasisitiza hivyo. Ila watu nao wasitumike kisiasa.
Anamharibia mteuzi wake
 
Asking for a friend.
Kwanini ma RC wenye akili Kama yule wa Njombe hawaletwi Dar?
Dar tunakosa gani?
DC wa Ubungo Yuko Dar
Mbunge wa Kawe Yuko Dar
Mbunge wa Ubungo ni Dar.
 
Dar na mkwara mbuzi wapi na wapi?

Dar ni level nyingine huwezi linganisha na mikoa mingine

Hakuna mkuu wa mkoa awezaye piga mkwara Dar?
Sababu watu kibao kuongea na raisi direct line wako kibao wawe machinga nk

Kinachotakiwa kukiwa na sintofahamu isiyo ya kisiasa inataka utullivu wa halinya juu sio mikwara

Lakini sintofahamu ikiwa ya kisiasa mkuu wa mkoa ruksa kupiga mikwara baada ya consultations na taasisi zingine kabla kumwaga mkwara
 
SIJUI TUNATAKIWA KUFANYAJE KAMA TAIFA TUBADILI VIFUNGU VYOTE VYA KATIBA VINAVYOMPA RAISI MAMLAKA YA KUTEUA INATAKIWA WATU WACHAGULIWE TU HAKUNA KUTEUA TEUA WATU
 
Hivi hiyo karakana si walisema inajengwa Ubungo Maziwa na nyumba zilishapigwa X na malipo yanaendelea kufanyika?
 
RC mwenyewe kwenye last meeting na hao wafanyabiashara, alishaonesha chuki za wazi.

Kauli yake ni dhahiri shahiri......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…