Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi hawa chawa huwa wanameza saa ngapi mistari ya kusifia? Mbona hatuwaoni wakienda msibani kwa mama Karume, au kwakuwa hiyo familia kwa sasa haina cha kuwapa?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema watu wengi wanaowazungumzia watoto wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Wanu Hafidh, Abdul na Ahmed hawajawahi kukutana nao ana kwa ana wakaujua uhalisia wao.
Akizungumza kwenye hitma ya marehemu Hafidh Ameir aliyekuwa mume wa Rais Samia, Chalamila amesema watoto wa marehemu Hafidh wanawapenda na kuwahurumia Watanzani na kwamba wamelelewa mwenhe mazingira mazuri.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema watu wengi wanaowazungumzia watoto wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Wanu Hafidh, Abdul na Ahmed hawajawahi kukutana nao ana kwa ana wakaujua uhalisia wao.
Akizungumza kwenye hitma ya marehemu Hafidh Ameir aliyekuwa mume wa Rais Samia, Chalamila amesema watoto wa marehemu Hafidh wanawapenda na kuwahurumia Watanzani na kwamba wamelelewa mwenhe mazingira mazuri.
πππHivi hawa chawa huwa wanameza saa ngapi mistari ya kusifia? Mbona hatuwaoni wakienda msibani kwa mama Karume, au kwakuwa hiyo familia kwa sasa haina cha kuwapa?
"Wanawapenda na kuwahurumia watanzania".Kupe
Naomba kujificha π"Aibu utaona wewe" πππ
Soreee huyu nae ni msomi et"Mwijaku Jazzy band modern taarabu.