RC Chalamila: Wanaomzungumzia Wanu na Abdul, hawajawahi kukutana nao

Naomba kuuliza hata nchi zingine ni.hivi hivi au ni hapa kwetu tu?

Ni kitu gani hiki🤔
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema watu wengi wanaowazungumzia watoto wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Wanu Hafidh, Abdul na Ahmed hawajawahi kukutana nao ana kwa ana wakaujua uhalisia wao.

Akizungumza kwenye hitma ya marehemu Hafidh Ameir aliyekuwa mume wa Rais Samia, Chalamila amesema watoto wa marehemu Hafidh wanawapenda na kuwahurumia Watanzani na kwamba wamelelewa kwenye mazingira mazuri.

Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Ukiwa chawa kulinda mgongo ni kipengele!😀

Mara Paaap,unayempamba anakukuwadia shababi moja la Town!!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema watu wengi wanaowazungumzia watoto wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Wanu Hafidh, Abdul na Ahmed hawajawahi kukutana nao ana kwa ana wakaujua uhalisia wao.

Akizungumza kwenye hitma ya marehemu Hafidh Ameir aliyekuwa mume wa Rais Samia, Chalamila amesema watoto wa marehemu Hafidh wanawapenda na kuwahurumia Watanzani na kwamba wamelelewa kwenye mazingira mazuri.

Mi siwajui hao watu lakini nadhani watu wanawafahamu zaidi pengine kuliko RC.Pia sura ya mtu sio wakati wote inakupa jibu la moyo wake
 
Attachments

  • 6405188-8fd715c9093808790118fec3dd5983a7.mp4
    15.6 MB
  • 6403529-6f253ec74c59a615dfdc6041e21e7142.mp4
    11.6 MB
  • 6404138-66312e992840a24b05214024345d2eb7.mp4
    56 MB
  • 6401139-06452b860efce1274d5b95abd258d280.mp4
    2.8 MB
Lijinga hili linajipendekeza..linajua mkeka mpya upo mbioni na lenyewe linatemwa.....
Hah haa ameambiwa Dar chafu inanuka, huyu kakalia kuti kavu salama yake ni kusifia watoto wa mama, anajua hao watoto ndio Alfa na Omega wa bi mkubwa.
 
Linajua linatemwa kazi kujikomba tu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema watu wengi wanaowazungumzia watoto wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Wanu Hafidh, Abdul na Ahmed hawajawahi kukutana nao ana kwa ana wakaujua uhalisia wao.

Akizungumza kwenye hitma ya marehemu Hafidh Ameir aliyekuwa mume wa Rais Samia, Chalamila amesema watoto wa marehemu Hafidh wanawapenda na kuwahurumia Watanzani na kwamba wamelelewa kwenye mazingira mazuri.

Iwapo wakikutana nao nini kitatokea🤔
 
Back
Top Bottom