RC Chalamila: Wanaomzungumzia Wanu na Abdul, hawajawahi kukutana nao

ndio maana ukamfunga ajuza wa miaka 86 JELA? Ulitumwa na Abdul?
 
Waliokutana nao hawaonekana tena hadi leo
 
Huyu si Abdul huwa anamuokotesha Acha atetee tumbo
 
Weee jamaa wa Kihehe umeputiliza Wahehe hatuko hivyoo umezidi kuwasifia hao watoto

Nikupe habari hawana issue zaidi mnawapa mbeleko zisizo na msingi wowote utawala ndio unawaweka tuu
 
Moja wapo ya kazi ngumu sana kwa mtu mwenye akili Timamu ni uchawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…