Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi.
Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi wa mabasi yaendayo haraka awamu ya pili (BRT II) iliyofanyika eneo la Mtoni (kwa Aziz Ali) ambapo Rais. Dkt. Samia, amehudhuria kama Mgeni rasmi.