kaz na utu tunasonga mbele pamoja 🤝Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi.
Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi wa mabasi yaendayo haraka awamu ya pili (BRT II) iliyofanyika eneo la Mtoni (kwa Aziz Ali) ambapo Rais. Dkt. Samia, amehudhuria kama Mgeni rasmi.
ndugu mdau hujambo 🐒Nzuri hii
Sijambo ndugu mdau karibu jukwaani 🐒ndugu mdau hujambo 🐒
IdiotMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi.
Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi wa mabasi yaendayo haraka awamu ya pili (BRT II) iliyofanyika eneo la Mtoni (kwa Aziz Ali) ambapo Rais. Dkt. Samia, amehudhuria kama Mgeni rasmi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa Dar wanatakiwa kuishukuru Oxygen tu ndio inawafanya waishi siku ikipotea hawana uhai wala hawatoweza hata kuishukuru.
Hata huyo Chalamila na kitambi chake kikubwa kama deni la taifa akiongea kinahema juu juu ni shauri ya Oxygen kuingia na kutoka.
Huyo Samuya sio Oxygen.
Anapima upepo kutokezea kwenye hafla hizo! Sasa ajae mikoani kichwa nje huku alisema Tanzania Kuna magaidiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi.
Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi wa mabasi yaendayo haraka awamu ya pili (BRT II) iliyofanyika eneo la Mtoni (kwa Aziz Ali) ambapo Rais. Dkt. Samia, amehudhuria kama Mgeni rasmi.
CHALAMILA ni zezeta kama Tlaatlaah, ChoiceVariable na Lucas MwashambwaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi.
Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi wa mabasi yaendayo haraka awamu ya pili (BRT II) iliyofanyika eneo la Mtoni (kwa Aziz Ali) ambapo Rais. Dkt. Samia, amehudhuria kama Mgeni rasmi.
pamoja sana 🤝Sijambo ndugu mdau karibu jukwaani 🐒