johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema hatuna tv sasa habari za siasa tupate wapi zaidi ya Channel ten?Mwanaume rijali unaanzaje kutazama TBC na Channel 10?
Kama nakuona roho inavyokuchachamaa. Kwani unataka nini yani. Unataka kusikia mtu kafa? Roho ya kishetani ikushinde na uleghee.Hawa jamaaa hawa.
Mficha maradhi.?
Mwanaume rijali unaanzaje kutazama TBC na Channel 10?
Watu wana matatizo binafsi.Kama nakuona roho inavyokuchachamaa. Kwani unataka nini yani. Unataka kusikia mtu kafa? Roho ya kishetani ikushinde na uleghee.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ninesoma kwamakini sana hii taarifa nimegundua iko sahihi maana haina tarehe wala siku ya kuanza hiyo ziara.
Nimekuelewa sana John
HahahaaaNinesoma kwamakini sana hii taarifa nimegundua iko sahihi maana haina tarehe wala siku ya kuanza hiyo ziara.
Nimekuelewa sana John
Ileje sio Tz?Unakichaa we jamaa, mwanaume rijali unaanzaje kulike taarifa toka channel ten? The undecided man to have ever existed in Mbeya. By the way, don't shoot the messenger, the message umepata?
Rungwe tumejengewa hospital.
Sasa hata ukiambiwa anaumwa utatoa msaada gani?Hawa jamaaa hawa.
Mficha maradhi?
Usidhani huyo member roho huyo inaishia ngazi ya taifa, hapana anawaza hivyo hadi kwenye ukoo na familia yake....yeye anatamani kuona mazishi tu!Kama nakuona roho inavyokuchachamaa. Kwani unataka nini yani. Unataka kusikia mtu kafa? Roho ya kishetani ikushinde na uleghee.
anachapa kazi ya kupiga nyunguSasa hata ukiambiwa anaumwa utatoa msaada gani?
Waziri Mkuu si alishasema yupo na anachapa kazi? Ila watu