RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

Tumebaki na MITANDAO tu ambayo angalau inathubutu kuhoji, kutoa mawazo mbadala, inakosoa, hayo mnayofanya serikali. BUNGE mmeua.

Limekuwa NEC ya CCM. Vyombo vya habari mmevikaba koo. Vingine vimejifia kimyakimya. Upinzani ni kama haupo. Sasa mnatuwinda mitandaoni. Baadaye iweje?
 
Hivi Mama Sammy mbona sioni yeye akizunguka hapa na pale?🤔
 
Kifo cha Nabii Sulaiman


Pamoja na utukufu na umadhubuti wa ufalme wake Nabii Sulaiman muda wake wa kuishi ulipokwisha aliondoka kama walivyoondoka Mitume,wafalme na wanaadamu wengine. Aidha, historia inatuonyesha kuwa kifo chake kilikuwa ndio mwanzo pia wa kuanguka kwa himaya kubwa aliyokuwa ameijenga. Tunasoma katika Qur'an:


"Na Tulipomkidhia mauti (alipokufa) hakuna aliyewajulisha mauti yake ila mnyama wa ardhi, (mchwa) aliyekula fimbo yake. Basi ilipoanguka, majini walitambua kama wangalijua siri wasingalikaa katika adhabu hiyo idhalilishayo" (34:14).



Waliomfuatia Nabii Sulaiman waliendesha maisha ya anasa na ufisadi matokeo yake yakawa ni kuporomoka kwa ufalme kuliko pelekea kuwafanya majini yawe huru.
 

Tumesahau kuweka tarehe mkuu.

Hiyo ziara ni lini tukampokee?
 

Umesahau kuweka tarehe mkuu.

Hiyo ziara ni lini tukampokee?
 
Watu wana matatizo binafsi.

Mtu ambaye humpendi muombee abadilike.
Mafanikio yake makubwa haya...kutengeneza MATAGA (watu wanaoamini ukibwabwaja-bwabwaja mitandaoni utaonekana na kutoboa). Selfish people, hawajali umoja wa kitaifa wala maendeleo ya Taifa, isipokuwa maendeleo ya matumbo yao.
Haya tuambie, zile risasi za Lissu, kilichowakuta akina Azory, Roma, nk yalikuwa ni maombi ya dini gani?..."What goes around comes around"
Turudi kwenye drawing board tuone wapi tulikosea
 
Roho mbaya itakuua.
Sasa wewe ulitakaje katika hali iliyopo.
Roho za korosho na visasi havijawahi kumpaisha mtu.
 
Roho mbaya itakuua.
Sasa wewe ulitakaje katika hali iliyopo.
Roho za korosho na visasi havijawahi kumpaisha mtu.
Eti sasa wewe ulitakaje katika hali iliyopo 🤣🤣
Tubwabwaje bwabwaje tule teuzi sio? Haya umefikia wapi na ubwabwajaji wako zaidi ya kubaki mkisheherekea vifo vya akina Azory, risasi za Tundu Lissu? Hiyo ndiyo maana ya roho mbaya uliyoiandika ila kwa sababu ulishauza akili huwezi itambua.
P.S. "Kaidi yamemkuta"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…