#COVID19 RC Dar: Kuvaa Barakoa kwenye Vyombo vya Usafiri na Vituo vya Mabasi ni lazima, sio hiari

Yani makala amepuuzwa asipotumia askari na na watu wa vyombo vya umma kupigwa fine watu hawatafata utaratibu, Yani hapo wakipigwa fine konda hatakubali kuruhusu abiria asiye na barakoa na mask kupanda. Punda haendi bila mjeledi
hiyo fine sheet itaandikwa kosa lipi?
 
Makosa ya usafiri wa public transport kutofata muongozo wa afya, afya ni swala sensitive sana
Hiyo justification ni kwa mujibu wa mtoza fine, konda au abiria? manake kuna sababu zinazokubalika kwa mtu kutokuvaa barakoa!! je upo informed kwa hili?
 
Suala la afya yako linaanza na wewe mwenyewe,usiangalie nani amevaa barakoa na nani hajavaa barakoa,wala usihangaike sana kumfuatilia aliyetoa agizo la kuvaa barakoa,wewe vaa barakoa ili kuminimize risk ya kupata hao deadly virus,

Ni ushauri tu,

The rest is up to you.
 
Hiyo justification ni kwa mujibu wa mtoza fine, konda au abiria? manake kuna sababu zinazokubalika kwa mtu kutokuvaa barakoa!! je upo informed kwa hili?
Achana na blah blah why usivae barakoa sijawahi ona asiye ruhusiwa with exceptional ya watoto 9 year's kushuka chini. Wengi hujichokoa mipua Yao na kushika vitu pia mipumuliano unaona sawa eeeh humo, mimi nilipana coronavirus kwenye sehemu ya watu tena kwa kushika vitu nikajikusa machoni. So usitetee kila mtu akivaa barakoa na kunawa inasaidia kuliko hilo li chanjo
 
We kachanjwe lipapuchi hilo, acha sisi tuendelee kujiachia mjini hapa, eboo!!

Yaani univalishe libarakoa nishindwe kupumua nife buree! Thubutuuu!
 
Mbona una makasiriko hivo ndugu,papuchi ya Bibi yako ukichakaa inatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
vaa barakoa ili kuminimize risk ya kupata hao deadly virus
Deadly virus gani, acheni kutia watu hofu nyinyi madalali wa machanjo uchwara!!

Siku zote tumeishi bila mabarakoa na hatujafa, hao deadly virus walikuwa wapi?

Yaani mlivyopewa mapesa na mabeberu basi ghafla tu tukavamiwa na deadly virus?

Hakuna cha deadly virus wala nini! Usanii mtupu!
 
RC anashindwa kuelewa kua ile mentality ilioachwa na Hayati Magufuli kuhusu korona imewashika watanzania sana ndiomaana unaona wala hakuna anaejali kihivyo,ukizingatia hamna aliewahi kukutana na maiti barabarani.

"korona ni ugonjwa wa kawaida"
"Tanzania hatuna korona"
"Tanzania tumeishinda korona"

Hii inawafanya watanzania kuishi kwa imani ya kukingwa zaidi na Mwenyezi Mungu kuliko kitu kingine chochote.
 
Makonda alikuwa na kipaji cha kupiga mikwala.
Akikataza kitu watu wanaufyata.
Akisema fulani kesho nimkute central anaenda.
 
Deadly virus gani, acheni kutia watu hofu nyinyi madalali wa machanjo uchwara!!

Siku zote tumeishi bila mabarakoa na hatujafa, hao deadly virus walikuwa wapi?

Yaani mlivyopewa mapesa na mabeberu basi ghafla tu tukavamiwa na deadly virus?

Hakuna cha deadly virus wala nini! Usanii mtupu!
Naona akili yako umeifungia kisha ufunguo ukauweka kwenye mfuko wa suruali.
 
Yani makala amepuuzwa asipotumia askari na na watu wa vyombo vya umma kupigwa fine watu hawatafata utaratibu, Yani hapo wakipigwa fine konda hatakubali kuruhusu abiria asiye na barakoa na mask kupanda. Punda haendi bila mjeledi
Ngoja niitunze hii comment. Nitakuja kukumbusha mbele ya safari!
 
Namshauri RC Makalla kwa nia njema kabisa ahakikishe matamko anayotoa yanatekelezwa. Mbona daladala bado zinajaza kibao na wenye barakoa in wa kuhesabu?
Yeye mwenyewe lini ulishamuona kwenye hivyo Vituo hakifanya ziara yeye anasubili aletewe report tu..
 
Back
Top Bottom