Umeongea kweli kabisa mkuu, CCM muda woote inawaza na inawazia maendeleo ya watu, leo Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii kuhakikisha jamii ya Tanzania inasonga mbele kwa walau kugawana kile ambacho taifa letu limebarikiwa, ndo maana amefungua nchi na Royal TOUR kuhakikisha taifa linafaidika na Rasilimali zake, ndo maana leo amekubali matakwa ya wengi na wachache wa upinzani, na ameandika makala na akatolea mfano baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na mzee Mwinyi enzi za miaka ya 1992 walivyokubaliana na wachache mfumo wa vyama vingi.... Good mwamba wa Escrow kutoka Simiyu.