OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 644
- 478
Tatizo wapi?View attachment 2295270 Mbavu zangu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wapi?View attachment 2295270 Mbavu zangu...
Anaa maanisha stability ya mfumokoni kwakeStability ni uoga tuu. Nchi jirani kama Kenya, Rwanda zimechapana lakini maendeleo wanayo. Wahutu na Watutsi wamechinjana leo wanajenga nchi.
Poa mkuuWacha tuone
Nakuelewa Sana,Huo mwamko utoke wapi wakati wote wanaoamka wanakimbili CCM!!
ONA MDEE & TEAM
Hela ndio zinaleta usingizi?Unalala unahela?
Baada kuogerea na kupinga selfie [emoji1702] kipi wamepata?Muda ni hakimu mzuri zaidi. Sidhani kama familia ya Rajapaksa ilikuwa inaamini kuwa kuna siku dola itawaacha wananchi waingie kucheza mieleka ikulu.
Wameuangusha utawala wa Rajapaksa ambao uliigeuza nchi kama mali ya familia, na wamepeleka ujumbe duniani kuwa nguvu ya umma haijawahi kushindwa ikiamua jambo.Baada kuogerea na kupinga selfie [emoji1702] kipi wamepata?
Umenivunja mbavu! Halafu kiongozi msomi anapotamka mambo kama mahirizi nk. naona kama anajidhalilisha, anajieleza alivyokuzwa na imani potofu na anashindwa kuachana nazo hata baada ya kuelimika. Pfuuu inanuka!Hayo maneno anayosema Kafulila ni kwakuwa yuko kwenye asali. Ni kama vile mwanaume ukimchukua mwanamke yoyote hata chagudoa unamwambia unampenda sana kwakuwa yeye ni mzuri. Utashangaa huyo mwanamke anavimba kichwa hata kama ni maneno anayoambiwa na kila mwanaume hata waliyeachana.
Hiyo ni lugha ya pichaUmenivunja mbavu! Halafu kiongozi msomi anapotamka mambo kama mahirizi nk. naona kama anajidhalilisha, anajieleza alivyokuzwa na imani potofu na anashindwa kuachana nazo hata baada ya kuelimika. Pfuuu inanuka!
Tanzania ni Tanzania tuWameuangusha utawala wa Rajapaksa ambao uliigeuza nchi kama mali ya familia, na wamepeleka ujumbe duniani kuwa nguvu ya umma haijawahi kushindwa ikiamua jambo.
Kazi nzuri Rais SamiaView attachment 2301176
===
Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya
ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo,
Mhe Kafulia anachambua Machafuko na matokeo yake kwa nchi zingine na namna yanavyoathiri uchumi wetu, hii ni baadhi ya michango ya RC Kafulila,
Swali, Tanzania tuna somo gani la kujifunza kutokana na machafuko yanayoendelea nchi za wenzetu?....
"Kwanza tukubaliane huwezi kujenga uchumi wala kuleta maendeleo kukiwa na machafuko ndani.
Ndio maana kazi ya kwanza ya Rais yeyote duniani ni kuhakikisha utengamano( stability) kwanza kabla ya agenda yoyote.
Rais wa awamu ya sita, Mhe Samia Suluhu Hassan unaweza kumuona vizuri katika hili na namna alivyoituliza nchi kwa sasa,
Maono yake Mhe Samia Suluhu Hassan ni kujenga Taifa ambalo wote tunakuwa sehemu ya ujenzi bila kujali tofauti za vyama, rangi, kabila wala asili yoyote bali uwezo tu wa muhusika.
Wote tunajenga kwapamoja , "Upinzani na CCM" Kwa kujenga pamoja nchi yetu kwa Upendo na Amani,
Mzee Makamba anasema tunakula asali kwa pamoja kwa maana ya "Ustawi wa Taifa kuwanufaisha watu wote",
Na hii ndio nguvu asilia ya Chama cha Mapinduzi CCM.
CCM ni chama kikongwe lakini wakati wote kinaonekana ni "chama cha kisasa" ni kutokana na kujibadilisha badilisha ili kukidhi mahitaji ya wakati husika,
Kwamfano tu,Leo hii Wakosoaji wa CCM huwezi kuwakusanya kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya hii ya sita ukawaweka kapu moja.
Kwani wanabadilika awamu moja na nyingine, CCM inawa' swap'...
Tanzania,ndio maana ni ngumu kutengeneza 'Mass' inayoipinga CCM kutosha kuiondoa madarakani kwasababu , waliokuwa wakosoaji wa CCM awamu moja wanaweza kuwa mashabiki awamu nyingine na kinyume chake.
Hii ndio 'hirizi' ya CCM. Hakuna muujiza zaidi ya kujibadilisha kukidhi mahitaji ya wakati na hili linaifanya CCM itawale kwa miaka mingi zaidi ijayo,
Tanzania iko salama Sana chini Mama Samia Suluhu.Kazi nzuri Rais Samia
Kubaki kimya kwenu Chadema ndio busara zaidi?Kafulilaaaa 😂🤣🤣🤣 kamtekenya aliyembeba, watu wamemla kichwa! Chalamila aliyebaki kimya kaonekana ana busara zaidi.
Correction: Sio kila anaekosoa uozo ni Chadema. Na kuhusu Kafulila - hata mie naona kaitetea vyema nafasi yake na sasa kahamishwa kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa .... hmm!? ebu subiri kwanza, mbona kama simuoni kwenye mkeka wa Venus Nyota hapa?🤔Kubaki kimya kwenu Chadema ndio busara zaidi?
Kafulila ameitetea vema nafasi yake
Nahisi ujinga mwingi unaanzia hapa kwa vijana wengi kwa kuhisi kila anaekosoa ni Chadema, Mtaji mkubwa kabisa wa ccm ni idadi kubwa ya wajinga hapa nchini maana ndio wapo wengi... Kwa miaka 60 ya uhuru kwa maendeleo haya??? kama sio mnufaika wa system kwa kijana kuisifia ccm kuna shida mahaliCorrection: Sio kila anaekosoa uozo ni Chadema. Na kuhusu Kafulila - hata mie naona kaitetea vyema nafasi yake na sasa kahamishwa kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa .... hmm!? ebu subiri kwanza, mbona kama simuoni kwenye mkeka wa Venus Nyota hapa?[emoji848]
CCM kweli wazidiwe wajanja na CHADEMA? 😂😂😂Nahisi ujinga mwingi unaanzia hapa kwa vijana wengi kwa kuhisi kila anaekosoa ni Chadema, Mtaji mkubwa kabisa wa ccm ni idadi kubwa ya wajinga hapa nchini maana ndio wapo wengi... Kwa miaka 60 ya uhuru kwa maendeleo haya??? kama sio mnufaika wa system kwa kijana kuisifia ccm kuna shida mahali