Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Usitamani Vita jamaa yangu,wapinzani ni kama vichaaStability ni uoga tuu. Nchi jirani kama Kenya, Rwanda zimechapana lakini maendeleo wanayo. Wahutu na Watutsi wamechinjana leo wanajenga nchi.
Ndoto za alinacha,Muda ni hakimu mzuri zaidi. Sidhani kama familia ya Rajapaksa ilikuwa inaamini kuwa kuna siku dola itawaacha wananchi waingie kucheza mieleka ikulu.
Hapana, ni ndoto za Watanzania.Ndoto za alinacha,
Dola ni nini? Watu gani wanahusika kwenye Dola katika nchi?Dolla inaweza kuwa neutral kama haitakuwa na mashaka na huo upinzani,
Hakuna siku dolla itapeleka serikali kwa wahuni,
Akikujibu hili njoo uchukue buku kwanguDola ni nini? Watu gani wanahusika kwenye Dola katika nchi?
Watanzania niwerevu Sana, ndio hawako tayari kuivuruga amani yao kisa siasaStability ni uoga tuu. Nchi jirani kama Kenya, Rwanda zimechapana lakini maendeleo wanayo. Wahutu na Watutsi wamechinjana leo wanajenga nchi.
😂😂😂Akikujibu hili njoo uchukue buku kwangu
😆😆😆Dola ni nini? Watu gani wanahusika kwenye Dola katika nchi?
Simiyu iko juu Sana kwa sasaUmeongea kweli kabisa mkuu, CCM muda woote inawaza na inawazia maendeleo ya watu, leo Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii kuhakikisha jamii ya Tanzania inasonga mbele kwa walau kugawana kile ambacho taifa letu limebarikiwa, ndo maana amefungua nchi na Royal TOUR kuhakikisha taifa linafaidika na Rasilimali zake, ndo maana leo amekubali matakwa ya wengi na wachache wa upinzani, na ameandika makala na akatolea mfano baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na mzee Mwinyi enzi za miaka ya 1992 walivyokubaliana na wachache mfumo wa vyama vingi.... Good mwamba wa Escrow kutoka Simiyu.
Huo mwamko utoke wapi wakati wote wanaoamka wanakimbili CCM!!Hakuna cha hirizi,kilichopo ni kwamba nchi bado haina mwamko wa uelewa kwa wananchi waliowengi.ila kwakadri miaka inavyoenda ndivyo jinsi watu wanavyoelimika na kutambua haki zao.kwahiyo ccm iko ukingoni mwa mwisho wake ndo maana kwa miaka ya karibuni imeonekana ikitumia zaidi dola badala ya sera kuendesha siasa zake.Na kinachoibeba ccm ni turufu ya mwenyekiti wa chama ambaye kwasababu ya katiba ya nchi iliyopitwa na wakati ana mamlaka makubwa ndani ya nchi kwasababu ya kua rais.Hizo zingine danganyaneni hapo koridoni.
Tumbili unahangaika sana, ni suala la muda tu usaliti wako utakutokea puani.View attachment 2294662
===
Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo,
Kamsaliti nani? Unaacha kuzungumzia Msaliti Mbowe pale Ikulu?Tumbili unahangaika sana, ni suala la muda tu usaliti wako utakutokea puani.
Dolla inaweza kuwa neutral kama haitakuwa na mashaka na huo upinzani,
Hakuna siku dolla itapeleka serikali kwa wahuni,
jamaa amewachana live Nyumbu, CCM ipo Sana, kama unataka utimize ndoto yako ya kisiasa njoo tu CCM, ONA LEO KAFULILA ANAVYOLISAIDIA TAIFA HILI
jamaa amewachana live Nyumbu, CCM ipo Sana, kama unataka utimize ndoto yako ya kisiasa njoo tu CCM, ONA LEO KAFULILA ANAVYOLISAIDIA TAIFA HILI
CCM inawa' swap'..