RC David Kafulila: Hii ndio hirizi ya CCM kuitawala Tanzania miaka mingi ijayo

Ni vigumu kutengeneza 'Mass' ya kutosha inayoipinga CCM na kuweza kuiondoa madarakani kwasababu, waliokuwa wakosoaji wa CCM awamu moja wanaweza kuwa mashabiki awamu nyingine na kinyume chake.
 
Muda ni hakimu mzuri zaidi. Sidhani kama familia ya Rajapaksa ilikuwa inaamini kuwa kuna siku dola itawaacha wananchi waingie kucheza mieleka ikulu.
Baada kuogerea na kupinga selfie [emoji1702] kipi wamepata?
 
Baada kuogerea na kupinga selfie [emoji1702] kipi wamepata?
Wameuangusha utawala wa Rajapaksa ambao uliigeuza nchi kama mali ya familia, na wamepeleka ujumbe duniani kuwa nguvu ya umma haijawahi kushindwa ikiamua jambo.
 
Umenivunja mbavu! Halafu kiongozi msomi anapotamka mambo kama mahirizi nk. naona kama anajidhalilisha, anajieleza alivyokuzwa na imani potofu na anashindwa kuachana nazo hata baada ya kuelimika. Pfuuu inanuka!
 
Hiyo ni lugha ya picha
 
Ni vile444
Wameuangusha utawala wa Rajapaksa ambao uliigeuza nchi kama mali ya familia, na wamepeleka ujumbe duniani kuwa nguvu ya umma haijawahi kushindwa ikiamua jambo.
Tanzania ni Tanzania tu
 
Kazi nzuri Rais Samia
 
Kafulilaaaa πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ kamtekenya aliyembeba, watu wamemla kichwa! Chalamila aliyebaki kimya kaonekana ana busara zaidi.
 
Kafulilaaaa πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ kamtekenya aliyembeba, watu wamemla kichwa! Chalamila aliyebaki kimya kaonekana ana busara zaidi.
Kubaki kimya kwenu Chadema ndio busara zaidi?

Kafulila ameitetea vema nafasi yake
 
Kubaki kimya kwenu Chadema ndio busara zaidi?

Kafulila ameitetea vema nafasi yake
Correction: Sio kila anaekosoa uozo ni Chadema. Na kuhusu Kafulila - hata mie naona kaitetea vyema nafasi yake na sasa kahamishwa kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa .... hmm!? ebu subiri kwanza, mbona kama simuoni kwenye mkeka wa Venus Nyota hapa?πŸ€”
 
Correction: Sio kila anaekosoa uozo ni Chadema. Na kuhusu Kafulila - hata mie naona kaitetea vyema nafasi yake na sasa kahamishwa kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa .... hmm!? ebu subiri kwanza, mbona kama simuoni kwenye mkeka wa Venus Nyota hapa?[emoji848]
Nahisi ujinga mwingi unaanzia hapa kwa vijana wengi kwa kuhisi kila anaekosoa ni Chadema, Mtaji mkubwa kabisa wa ccm ni idadi kubwa ya wajinga hapa nchini maana ndio wapo wengi... Kwa miaka 60 ya uhuru kwa maendeleo haya??? kama sio mnufaika wa system kwa kijana kuisifia ccm kuna shida mahali
 
CCM kweli wazidiwe wajanja na CHADEMA? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…