RC David Kafulila: Hii ndio hirizi ya CCM kuitawala Tanzania miaka mingi ijayo

Correction: Sio kila anaekosoa uozo ni Chadema. Na kuhusu Kafulila - hata mie naona kaitetea vyema nafasi yake na sasa kahamishwa kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa .... hmm!? ebu subiri kwanza, mbona kama simuoni kwenye mkeka wa Venus Nyota hapa?🤔
daah
 
Naunga mkono hoja hii
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…