Tetesi: RC Gambo adaiwa kupigwa kwenye Mkutano wa CCM Arusha

Status
Not open for further replies.
Daaaa baba atamshughulikia katibu haraka Sana...
 
Hapo uone polisi waluvyosehemu ya maccm! Kwa nini hawajakamata mmojawapo na kumfikisha kituoni badala yake wanashiriki kumaliza kesi kimyaa
 
Waraka wa Maaskofu umeeanza kufanya kazi.Nacheka dhambi.Pole RC
 
Umeweza kuandika haya yote, picha imekushinda ku-upload[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 

Wewe ulikuwa ni mjumbe wa kikao hicho?? Ulisimama wapi wakati Gambo anapokea kichapo???
 
Na haya majinga majinga nayo yanaswagwa tu kama kondoo! Tangu lini RSO na TAKOKURU wakawa wajumbe wa kamati ya siasa mkoa? Nampongeza sana huyo Katibu kukataa kudhalilishwa ingawa naona kama tarehe 7 anaenda kutemeshwa shudu!!
Well said
 
Kuna taarifa kwamba amelazwa Serian je ni kweli ?
Yule jamaa kulazwa kwake shughuli kweli... ana uwezo wa kutembea na dripu na daktari na manesi kwenye gari.... Anapenda kulazwa hospitali ambayo ni take away
 
Kanavyochongaga kama mtoto wa Hadija Kopa kumbe ngumi hajui anategemea polisi.
 
Kuna watu wananguvu za ajabu, nilipofungua tu huu uzi ili niusome computer yangu ikazimika imenilazimu nikasomme na kuchangia uzi kwa jirani
 
Hahahahaha kumbe anavyotoaga vile vitisho nguvu yake inakuaga ni kwa Polisi nilitaka nishangae kwa jicho lile anaanzaje kupata nguvu ya kuzipanga na kidume mwenzake mara nyingi watu wenye vitisho vingi ndo wanakuaga waoga halafu hawana nguvu Pongezi nyingi zikuendeee bwana mpanda
 
Halafu ccm ni chama tawala,kina haki kumuita afisa yoyote wa serikali kwa ajili ya kutoa ufafanuzi kikaoni


Ni kweli kabisa CCM ina uwezo wa kumuita mtu yeyote kwenye kikao. Tatizo, Mrisho Gambo sio CCM, ni mwana CCM!

Unakujaje kwenye kikao na mgeni ambae Katibu na Mwenyekiti hawana taarifa nae?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…