Kuna shda kubwa sana kwa HawaIla bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Nonsense kabsaAnachofanya Ni kutaka kucover vifo vya Covid 19 hapo Arusha
Useless leader
Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Mh gambo nime ahirisha kufa hadi 2090Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona.
Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona.
Source ITV habari!
Maiti tu ndio hapana. Kwingine RuksaIla bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Hata hayo mazishi anamanisha makaburini watu wasizidi 10 ila nyumbani kwa marehemu nyomi kama kawaida, viongozi wetu mtihani sanaIla bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Hivi zipo sawa kweli?Kwenu wamekufa wangapi kwa maambukizi yaliyosababishwa na maombi ya rais Magufuli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu warehemu....at least watambue nini wanaongea.Hata hayo mazishi anamanisha makaburini watu wasizidi 10 ila nyumbani kwa marehemu nyomi kama kawaida, viongozi wetu mtihani sana
Huko kwingine ni sehemu za kuchapa kazi na kukuza uchumi wa Taifa Gambino. Watu wameruhusiwa kuchapa kazi, kuzika hakuna kodi huko.Mazishi tu ndio yanaleta maambukizi watu wasizidi 10 ila bar, kanisani,maikitini, sokoni huko kote mambo yaende kama kawaida hakuna maambukizi.
Hizi akili za viongozi wetu. Afrika kuendelea ni jambo ambalo ni sawa na jiwe kuzaa mbuzi.
Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona.
Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona.
Source ITV habari!
hii ni katika juhudi zakuficha tusitofautishe nani kafa na covid 19 na yupi kifo ca kawaidaMkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona.
Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona.
Source ITV habari!
Hii comment ina likes 30 wakati original post haina like hata moja.Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Unasubiri mpaka kwenu afe mtu ndiyo akili yako iwe timamu?Kwenu wamekufa wangapi kwa maambukizi yaliyosababishwa na maombi ya rais Magufuli??
Sent using Jamii Forums mobile app