RC Gambo: Mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 bila kujali ugonjwa uliomuuwa marehemu

Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Kuna shda kubwa sana kwa Hawa
Watu

Mtoto wa nyoka n nyoka tu

stidy
 
Wanasiasa wangekaa pembeni kabisa kipindi hichi cha corona,wangebaki
Mabwana Afya na Matabibu ndio watoe matangazo.
 
Sasa mkuu ulitakaje? Ninyi furaha na maombi yenu ni kusikia lockdown ndo mfurahie,mmerusha vifo fake za vifo hajaridhika,kila hatua inayoletwa na government yetu ninyi lawama tu
Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwenye ulabu wanaruhusiwa kupombeka watu wasiozidi wangapi kwa wakati mmoja
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona.

Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona.

Source ITV habari!
Mh gambo nime ahirisha kufa hadi 2090

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba za kupanga zenye watu 20 na zaidi,bafu mmoja na choo,zifungwe
 
Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Hata hayo mazishi anamanisha makaburini watu wasizidi 10 ila nyumbani kwa marehemu nyomi kama kawaida, viongozi wetu mtihani sana
 
Mungu warehemu....at least watambue nini wanaongea.

The good, the bad and the ugly.
 
Mazishi tu ndio yanaleta maambukizi watu wasizidi 10 ila bar, kanisani,maikitini, sokoni huko kote mambo yaende kama kawaida hakuna maambukizi.

Hizi akili za viongozi wetu. Afrika kuendelea ni jambo ambalo ni sawa na jiwe kuzaa mbuzi.
Huko kwingine ni sehemu za kuchapa kazi na kukuza uchumi wa Taifa Gambino. Watu wameruhusiwa kuchapa kazi, kuzika hakuna kodi huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................

Iliwahi kuulizana: "hivi hii ni akili kweli au ni matope? Mwisho wa kumnukuu.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona.

Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona.

Source ITV habari!

Hata mazishi yake?
 
hii ni katika juhudi zakuficha tusitofautishe nani kafa na covid 19 na yupi kifo ca kawaida
Fumbo mfumbie mjinga
Lakini mara mabaa yako wazi minada na usafiri wa uma bado tunajazana vicoba na makanisani tunakwenda na bia shaka misikitini
Moyo wangu unapata ganzi nikifikiri ni muda haujafika kabla mimi binafsi nikaicha familia yangu au watu muhimu wakaicha familia yangu huku serikali imebariki sisi tufe kama kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom