RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

Waafrika hasa watu wa kanda hiyo ni watu wa hovyo sana... nilistaajabu Magufuli kumtaja Mungu kote kule bado akazikwa kishenzi namna ile kwa kuviligwa kwenye ngozi inayotiririka damu ya mnyama!!
 
Waafrika hasa watu wa kanda hiyo ni watu wa hovyo sana... nilistaajabu Magufuli kumtaja Mungu kote kule bado akazikwa kishenzi namna ile kwa kuviligwa kwenye ngozi inayotiririka damu ya mnyama!!
...Duh!. Acha uzushi mkuu
 

Hahahah Sasa Chifu Hangaya anasemaje kuhusu kuzuia matambiko?
 
Je, Magufuli alikuwa ni "mtu wa Matambiko".? Kama jibu ni hapana bila shaka hata yeye hatopendezwa na jambo hilo la kufanya tambiko kaburini mwake.
Sasa hata likifanyika yeye mwenyewe atajuaje..? unajua hata yeye kujua kwamba amekufa hajui..
 
Mambo ya kiroho zaidi, familia inapaswa kuandaa na kuweka wazi ratiba na Aina ya ibaada kumbukumbu.Wapo wengi hususani Sukuma land walijenga Mapenzi makubwa na JPM.
 
Mara hataki Mara wawasiliane na familia ya magufuli huyu ni chizi hajui magufuli alikua rais wawananchi na sio familia yake tu
 
RC amekunywa bangi. Matambiko hayatakiwi kuombewa ruhusa kwa RC.
 
Kuwa na akili!!kwani hilo kabuli ni mali ya serikali?au liko kwenye makumbusho ya taifa?!!
Hapo ni asali na sukarugulu.
Hilo halikuwa tambiko kama wanafamilia hawakuratibu.
Huo ulikuwa ushirikina.
Tamko la kuzuia lilitakiwa litolewe na msemaji wa familia.kaburi lipo ndani ya familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…