Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kwani hao wanakuja kutambika?[emoji871]Huyo RC mbona hawazuwii wale marais na wakurugenzi wa benki za kimataifa wanaokuja pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao wanakuja kutambika?[emoji871]Huyo RC mbona hawazuwii wale marais na wakurugenzi wa benki za kimataifa wanaokuja pale.
MzilankendeMwacheni dingilai apumzike, mnataka afije mbinguni amechoka?
...Duh!. Acha uzushi mkuuWaafrika hasa watu wa kanda hiyo ni watu wa hovyo sana... nilistaajabu Magufuli kumtaja Mungu kote kule bado akazikwa kishenzi namna ile kwa kuviligwa kwenye ngozi inayotiririka damu ya mnyama!!
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.
Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.
Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.
Source: Wasafi Media.
Sasa hata likifanyika yeye mwenyewe atajuaje..? unajua hata yeye kujua kwamba amekufa hajui..Je, Magufuli alikuwa ni "mtu wa Matambiko".? Kama jibu ni hapana bila shaka hata yeye hatopendezwa na jambo hilo la kufanya tambiko kaburini mwake.
Sasa hata likifanyika yeye mwenyewe atajuaje..? unajua hata yeye kujua kwamba amekufa hajui..
Kwa hiyo hata kabla ya kuzaliwa huwa unajua kwamba unazaliwa?Wewe ulijuaje kama hajui? Au na wewe ulishawahi kufa?
Kuna wakati JPM was so funny. Alikuwa na utani sana.Haa
Jiwe Chuma Akiwa Dodoma
AliwaambiwA Watani Zangu
Mimi Nikifa Sizikwi Dodoma, Ninyi Ndugu Zangu Usiku Mtakuwa Mnakuja Na Fisi Kucheza Kwenye Kaburi Langu
Bora Chettle
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watu mmeshapinda sana kwa kweli!Wewe ulijuaje kama hajui? Au na wewe ulishawahi kufa?
Hapo ni asali na sukarugulu.Kuwa na akili!!kwani hilo kabuli ni mali ya serikali?au liko kwenye makumbusho ya taifa?!!
Wale hawaendi kufanya matambiko. Tusichanganye mambo[emoji871]Huyo RC mbona hawazuwii wale marais na wakurugenzi wa benki za kimataifa wanaokuja pale.
Kuna maRC wana mambo ya ajabuu. Au nasema uwongo ndugu zangu?🤣🤣Mzilankende RC Kazuia Tambiko Lako, Sasa Utaamua Mwenyewe!!!
Kuna Watu Wanakupuuza Huku!! Haa