Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego akikabidhi hati miliki za ardhi zilizotolewa kwa mfumo wa kidigiti (e-Ardhi) baada ya wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Singida kupatiwa mafunzo ya siku nane ya namna ya kutumia mfumo wa e-Ardhi.
Soma Pia: Singida yaanza kutoa hati miliki za ardhi kupitia mfumo wa e-Ardhi
Matumizi ya mfumo huo wa e- Ardhi yameendelea kupunguza urasimu na kurahisisha upatikanaji huduma za ardhi kwa wananchi mkoani humo hatua inayolenga kuongeza ufanisi na uwazi katika utoaji huduma za ardhi.