Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Nani anafaa kusikilizwa?Huyu siyo wa kumsikiliza
Hawana jinsi. Magufuli kawanyima uhuru. Ukiomba likizo ndo mazima. Na walivyo vilaza nani atawaajiri ?Kujiajiri hawawezi. Hapa ndo muone wanaowaimbia wimbo wa kujiajiri kila siku wao ndo kabisa hawawezi.