Sizitaki hizi mbichiMkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi amesema kuwa hana mpango wa kugombea Ubunge, kwani akiwa Mbunge itamulazimu kupeleka shida za wananchi wake kwa Mkuu wa Mkoa ili amtatulie, kitendo ambacho hayuko tayari kukifanya.
Hapi ametoa kauli hiyo hivi karibuni, wakati akifanya mahojiano maalum na EATV na kusema kuwa mara nyingi amekuwa akitajwa na watu kwamba atagombea Ubunge, na kusema kuwa dhamana aliyopewa na Mungu kupitia Rais Magufuli ni kubwa, hivyo anao wajibu wa kuendelea kuwatumikia wananchi.
"Sioni kama kukimbilia kwenye Ubunge ni uamuzi sahihi sana, Mimi nina Wabunge 11, wakiwa na shida wanakuja kwangu, sasa mimi ninapokimbia Ukuu wa Mkoa niende kwenye Ubunge ili na mimi niwe napeleka shida kwa RC ni kitu ambacho kidogo hakiingii akilini, wananchi waendelee kuniombea na wawe na subra huko mbeleni Mungu akijalia na umri ukiwa umesogea tunaweza kwenda eneo hilo" amesema Hapi.
Aidha Hapi amewataka wanasiasa kuwa na heshima badala ya kuendelea kulaumu kwa kila kitu na kufuata sheria na taratibu hususani katika masuala ya ufanyaji wa mikutano
![]()
Rc 4m Mp 13mAnazungumzia wananchi ilhali wenzie wanawaza 250M na marupurupu chungu nzima.
BTW:Huyo jamaa mtu wa wapi maana isiwe hana hata pa kuanzia huko kwao kuna Mbunge kisiki.
Sanamu ya Yesu fakeHao Mateka hawawezi ishi ya ajira, kuepuka kufa njaa ni lzm wapigwe chapa na kuisujudia Sanamu ili waishi
Yesu fake kawazibitiRc 4m Mp 13m
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi amesema kuwa hana mpango wa kugombea Ubunge, kwani akiwa Mbunge itamulazimu kupeleka shida za wananchi wake kwa Mkuu wa Mkoa ili amtatulie, kitendo ambacho hayuko tayari kukifanya.
Hapi ametoa kauli hiyo hivi karibuni, wakati akifanya mahojiano maalum na EATV na kusema kuwa mara nyingi amekuwa akitajwa na watu kwamba atagombea Ubunge, na kusema kuwa dhamana aliyopewa na Mungu kupitia Rais Magufuli ni kubwa, hivyo anao wajibu wa kuendelea kuwatumikia wananchi.
"Sioni kama kukimbilia kwenye Ubunge ni uamuzi sahihi sana, Mimi nina Wabunge 11, wakiwa na shida wanakuja kwangu, sasa mimi ninapokimbia Ukuu wa Mkoa niende kwenye Ubunge ili na mimi niwe napeleka shida kwa RC ni kitu ambacho kidogo hakiingii akilini, wananchi waendelee kuniombea na wawe na subra huko mbeleni Mungu akijalia na umri ukiwa umesogea tunaweza kwenda eneo hilo" amesema Hapi.
Aidha Hapi amewataka wanasiasa kuwa na heshima badala ya kuendelea kulaumu kwa kila kitu na kufuata sheria na taratibu hususani katika masuala ya ufanyaji wa mikutano
![]()
Mkuu,Ni kwa vile aelewi kuwa mamlaka ya mbunge ni makubwa kuliko ukuu wa mkoa. Yaani yeye anaona kwa vile Magufuli anachezea sheria ndio itakuwa hivyo miaka yote. Haha yataisha mwezi wa kumi na moja wakati wenye nchi watakapochukua nchi yao na kuweka katiba yao inayofuata sheria na haki. Ndio atajua kuwa ukuu wake wa mkoa ni zirooo
Ametumia methali ya mtaka yote kwa pupa..kaona Bora abak na hicho kidogo kuliko kurud lumumba akawe anapost tu jf na kulipwa 7k per dayYesu fake kawazibiti